Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
kunashida gani ukienda kumsikiliza mwajiri wako ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni kiongozi gani wa Ccm mwenye uwezo wa kupata watu bila malori na mahudhurio kutumika? Mikutano waachieni Chadema
Nchimbi kamwajiri nani? Acheni kutuona mabwege nyie!kunashida gani ukienda kumsikiliza mwajiri wako ndugu
Bado wanatumia mbinu za zama za mawe. Ndio maana nchi haisongi mbele. Badala ya kuacha wafanyakazi wafanye kazi zao na wanafunzi wasome wao wanawasomba. Hawa wenzetu watoto wao wanasoma nje ya nchi, wa kwetu wanawajaza viwanjani kwenye militano yao.
Hakuna utaratibu kama huo kwenye ajira wa mimi kwenda kwa lazima kwenye mkutano wa katibu mkuu wa CCM tena siku ya Jumamosi. mmewakuta maboya ndio mnawapelekesha hivyo, yeye afanye vikao na hao wajuu HRO huko.Nchimbi anaenda kukaguwa na kusimamia ilani ya chana tawala, hulielewi hilo?
Huelewi serikali inaundwa na chama kipi na inatekeleza kazi za ilani ipi?
Siyo aliyekuzidi ujinga?
Unavyoandika tu unaonesha una ujinga wa asili ulichanganyika na wa kusomea.
Sasa watumishi wa umma ndio waliinadi ilani majukwaani wakati wa kampeni?Wakatoe maelezo ya utekelezaji wa Ilani ya Chama kilichopo madarakani.
Hata aibu huna!Nchimbi anaenda kukaguwa na kusimamia ilani ya chana tawala, hulielewi hilo?
Huelewi serikali inaundwa na chama kipi na inatekeleza kazi za ilani ipi?
Siyo aliyekuzidi ujinga?
Unavyoandika tu unaonesha una ujinga wa asili ulichanganyika na wa kusomea.
Hakuna kitu kama hicho kwenye standing order, labbda kama hujui maana ya majukumu mengine utakayopangiwa. Huwezi nilazimisha kwenda kwenye mkutano wa kiongozi wa chama cha siasa ambacho mimi siwajibiki kwake moja kwa moja kama mwajiriwa. Hizo sheria sijui mnazisomea wapi.Mkuu digba sowey , kwenye barua za ajira, kwenye job description zako, unaelekezwa majukumu yako pamoja na mambo mengine yoyote ambayo utaelekezwa, hivyo hayo ni maelekezo, usipotekeleza bila sababu ya msingi ni kosa la insubordination, kwanza unakula memo, maelezo yasipojitosheleza, unafunguliwa mlango na kuonyeshwa njia ya kutokea, ndio safari!.
Anayeamua ni mambo gani muhimu kwako sio wewe ni mwajiri, kama mwajiri amekuelekeza kuhudhuria mkutano wa CCM, unahudhuria hata kama wewe ni Chadema.
P.
Huwezi fukuzwa kazi kwa sababu kama hiyo, sana sana utakuwa unafanyiwa figisu za chini kwa chini. Haya mambo wala hayajaanza leo, hata miaka 20 iliyopita yalikuwepo na sijawahi kufanya huo ujinga. Hata Mei mosi kuna waajiri walikuwa na tabia ya kuchukua maudhurio na sijawahi kwenda, plus mikusanyiko ya mwenge.wakuu wa idara wachukue mahudhurio🤣🤣🤣🤣🤣 bora ukafugr kondoo ujue moja yaani unakuta baba mwenye watoto naye anahesabishwa namba 🤣🤣🤣🤣
Acheni Ubwege nyieNi mambo ya kawaida.
Akague na pimbi wenzake,yeye hanilipi mshahara,sina muda wa kusikiza vilazaNchimbi anaenda kukaguwa na kusimamia ilani ya chana tawala, hulielewi hilo?
Huelewi serikali inaundwa na chama kipi na inatekeleza kazi za ilani ipi?
Siyo aliyekuzidi ujinga?
Unavyoandika tu unaonesha una ujinga wa asili ulichanganyika na wa kusomea.
ni mambo ya mifumo hii iko kote dunianiNchimbi kamwajiri nani? Acheni kutuona mabwege nyie!
Tuwekee nchi nyingine yenye ubwege kama huuni mambo ya mifumo hii iko kote duniani
swali la kijingaHao watumishi wanalipwa na serikali ya chama gani?
Ukiwa seerikalini ukipenda usipenda unafanya kazi kwa kutelekeza ilani na sera za chama tawala, si unakifahamu chama tawala?Akague na pimbi wenzake,yeye hanilipi mshahara,sina muda wa kusikiza vilaza
Ujinga ulinifundisha weww
😂Kazi iendelee