Tulishauri, tukatoa tahadhari na tukaonya lakini kama walivosema wahenga, sikio la kufa halisikii dawa!

Mkuu wangu!!, Wafuasi wa lisu walianziq mbali sana!! Wana democracy ya aina yake kabsa!!.

Wafuasi wa lisu wanaliogopa sana box la kura , wakati Wana uhakika wa kushinda uchaguzi,najiuliza sana lisu ana nguvu sana wangeacha kura ziamue tu maana atashinda.

Democracy yao ni kubwa na mpya kabsa hii ambapo mgombea anamu endorse mgombea wa ngazi nyengine waziwazi bila wasiwasi, sijui akishinda hao wengine (wapinzani) watafanya nn kama sio sabotage za hapa na pale!!!!
 
Acha Democrasia ichukue nafasi yake. Kwani unaogopa nini? Kama Lissu anashinda si atashinda tu?

Hivi ni vielement vya Udikiteta.
 
System ingekua ipo kwa ajili ya Maslai ya Nchi ingemuweka Lissu mwenyekiti watu wangefunga breki ila kwa sasa tunaitaji Maombi
 
Hakuna kujitowa
Hakuna aibu ya kushindwa hata kura ikiwa ni moja
Ndio ukomavu
 
Acheni kulia lia,Kapigeni kura
 
Ila, kwa jicho la tatu, wafuasi wa lissu wanaonekana Wana wasiwasi kuliko wa mbowe. Hawatulii, hapo Kuna maana kubwa kwa wenye akili.
Wanaweza wasitulie kwa sababu ya kukipenda chama, wanaona kabisa future ya chama Mbowe akiwa mwenyekiti inatia shaka, public opinion pia unaonesha hivyo. Uwezo wa kukemea maovu kwa Mbowe umepungua, miaka 60+ ni muda wa kutoa ushauri, siyo muda wa mikikimikiki. Zama hizi binafsi nafikiri zinahitaji approach tofauti katika siasa za upinzani ambazo huoni kabisa kama Mbowe anazimudu. Ni mtizamo tu lakini.
 
Kwa nini ajitoe wakati anaenda kushinda?
 
Bado ana siku tatu za kujirudi na anaweza kupokelewa.
Au naye atangaze kujiunga na CCM.
Baada ya uchaguzi, milango itakuwa imefungwa na kutiwa kufuli.
Matokeo ya Bawacha vipi Kamanda?
 
Bawacha wa kibaraka Lisu amegalagazwa huko,zamu yake imekatibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…