Mkuu wangu!!, Wafuasi wa lisu walianziq mbali sana!! Wana democracy ya aina yake kabsa!!.Duh...!. Ushauri huu ni demokrasia mpya hii!, kwanini ajitoe kabla badala ya kusubiri kura ndio ziamue?.
Ila hili la Chadema kuwa ni sikio la kufa, tumelisema sana humu, na hatukuanza leo! CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!
P
Wafuasi wa lisu wanaliogopa sana box la kura , wakati Wana uhakika wa kushinda uchaguzi,najiuliza sana lisu ana nguvu sana wangeacha kura ziamue tu maana atashinda.
Democracy yao ni kubwa na mpya kabsa hii ambapo mgombea anamu endorse mgombea wa ngazi nyengine waziwazi bila wasiwasi, sijui akishinda hao wengine (wapinzani) watafanya nn kama sio sabotage za hapa na pale!!!!