Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Mkuu unaongea nadharia mlizofundishwa pale Mikocheni.JPM hakuvurunda. Nina hisi wengi hampo karibu na habari. Mara kadhaa alikuwa anawakanya TRA wawe wastaarabu. Uzuri mimi Tax pia ni field yangu. Tax ni Sheria na Imetungwa na Bunge. Hata Rais hawezi ipangua mpaka iende Bungeni. Tatizo la TRA ni kutoa elimu kwa mlipa kodi na pia kuto kuwa rational katika kufanya maamuzi. Unaweza kuta wanakataa kitu ambacho mbele ya macho ni cha ukweli. Lakini pia ukionewa kwenye kodi unatakiwa kufanya pingamizi ndani ya siku therathini au zaidi. Ni sheria haibadiliki kirahisi mpaka bunge liseme. TRA wawaelimishe watu. Wafanyabiashara wanaotumia wahasibu wabobezi ya tax consultants kwao kuna unafuu maana TRA na hawa wataalamu huzungumza lugha moja.
Waislam wa zamani, ni sawa. Hata kuna wazee wengi tu wa kiislama walikuwa na mke mmoja. Tena bila michepuko. Sina uhakika kwa kizazi hiki.Kuna vitu vinapita kichwani mwangu, inawezekana wazanzibar ni wapenda haki na wana hofu ya Mungu kweli, Mimi ni mkristu lakini nimeanza kuwaza kwamba inawezekana kuna ombwe kubwa LA mafunzo ya utu, hofu ya Mungu na huruma kati ya wakristo na waislamu, maana tofauti imekuwa dhahiri ukilinganisha
👊👊🤸🤸🤸Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.
Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.
Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.
Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.
Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.
Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
Wanajisumbua tu kwani watashughurikiwa kwerikweri na wakitoka hapo wakawasimurie wake zao! In jiwe's voice! Tena wasithubutu maana hiiiiiiiiiiih! Hachokozeki!Wenzenu washaanza kumkataa huko
Hosipital zimeanza filigisu haswa ya temeke ujinga ujinga umeanza kurud tenaNi mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.
Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.
Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.
Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.
Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.
Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
hawa si wanamshangilia mama kwa muda huu mfupi tu,subiri matusi yao yatakavoanza kuporomoshwa huko tuendakoKwenye kukusanya kodi asifanye siasa akae na timu yake washauriane vizuri.Hili si jambo la kulitolea tamko tu research inahitajika.
Duniani nchi zote zilizoendelea hawana utani na masuala ya kodi. Na haijawahi kutokea watu kufurahia kulipa kodi.
Kuna miradi mkubwa inahitaji fedha na inatekelezwa kwa fedha za ndani. Awamu ya 4 walizembea kukusanya tukaaanza kutembeza bakuli kwa tuliowaita WAHISANI.
Kulikuwa na mianya mingi wawekazaji waliitumia kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha Tax holiday. Ilikuwa ni kawaida sana katika top 10 ya walipa kodi wakubwa makampuni ya madini hayapo.
Tulishuhudia mahotel yakibadilishwa majina mara tu walikaribia kufikia muda wa kulipa kodi.
ICD na bonded warehouse zilijaa mpaka vichochoroni.
Wanapata taabu sanaMataga Jiwe supporters wanna aibu kweli , waimba mapambio ya kusifu na kuabudu maskini aibu sana View attachment 1741701View attachment 1741702
Wewe sukule acha kumtisha Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa vikosj vya ulinzi na usalama.Unapoteza muda kusikilizisha mapumbavu haya ambayo yanajaribu kumtoa mama kwenye njia, mdanganyeni ajaribu kwenda kinyume na JPM muione NGUVU YA UMMA HALISI acha hiyo yenu ya kujiita "wananchi" wakati hata uwanja wa mpira hamjazi, (watanzania wa nyuma ya keyboard).
Aiseee kaongea lini hii?Ndugai naye eti kapata nafuu hadi anasema "Angekuwa yule mwingine"!!
Kwa wakristo labda isiwe wakatoliki maana hawa tumeshaonja shubiri yao toka aingie mchonga, akaja Uncle Ben na jiwe Hawa wamekuwa shida tupu. Pamojannami no mkatoliki Ila mmmh hebu kwanzaKuna vitu vinapita kichwani mwangu, inawezekana wazanzibar ni wapenda haki na wana hofu ya Mungu kweli, Mimi ni mkristu lakini nimeanza kuwaza kwamba inawezekana kuna ombwe kubwa LA mafunzo ya utu, hofu ya Mungu na huruma kati ya wakristo na waislamu, maana tofauti imekuwa dhahiri ukilinganisha
Mi naamini mwendazake yupo kea shetani muda huu anachomeka vibaya maana damu kibao zinamlilia uovu aliotenda.Ccm wamechanganyikiwa kuhusu Mambo afanyayo mama rais.Mpaka ndugai anasema mama hatabiriki? Haahaa
Mataga tena watashangilia na hili.Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.
Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.
Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.
Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.
Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.
Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
Bado makando kando aliyoacha. Tunaomba Mungu atusafishie nchi wote waondokeMi naamini mwendazake yupo kea shetani muda huu anachomeka vibaya maana damu kibao zinamlilia uovu aliotenda.
Kwa sasa anagalau anastahili pongezi. Mkuu tulikuwa hatujambi.Muda utasema tu samia na ccm ni kitu kimoja mstegemee maajabu kutoka kwa samia wote huwa wanaanza kwa mbwembwe ila mwisho wa wiki wanageuka
Kila mtu alikuwa na maumivu kwa upande wake.Ndugai naye eti kapata nafuu hadi anasema "Angekuwa yule mwingine"!!