Tuliwaambiaga mkatupinga na mkatukatalia. Sasa wote tunaona jinsi Rais Samia anavyorekebisha

Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.

Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.

Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.

Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.

Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.

Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.

naona umeamua kutukumbusha kwa nguvu kuwa hamna jipya lililosemwa na mama, tatizo sisi watanzania ni wasahaulifu sanaa,yani tunaamini alilosema mama ni jipyaaa,tunaona ni mkombozi kutoka wapi huko sijui..
baada ya muda mfupi yanaanza maneno ya kejeri plus matusi,tunasahau wote hao ni wanasiasa watanzania ngozi zao zinafanana tu,tusijipe matumaini yaliyopitiliza
 
Unapoteza muda kusikilizisha mapumbavu haya ambayo yanajaribu kumtoa mama kwenye njia, mdanganyeni ajaribu kwenda kinyume na JPM muione NGUVU YA UMMA HALISI acha hiyo yenu ya kujiita "wananchi" wakati hata uwanja wa mpira hamjazi, (watanzania wa nyuma ya keyboard).
Jpm ni nani nchi hii mpaka raisi aliyeko madarakani amtetemekee? Mwinyi hakwenda kama nyerere umma haukufanya kitu, mkapa hakwenda kama mwinyi umma haukufanya kitu kikwete hakwenda kama mkapa ulifanya nini? Acha kumtishia samia. Magufuli is gone na kiburi chake.
 
naona umeamua kutukumbusha kwa nguvu kuwa hamna jipya lililosemwa na mama, tatizo sisi watanzania ni wasahaulifu sanaa,yani tunaamini alilosema mama ni jipyaaa,tunaona ni mkombozi kutoka wapi huko sijui..
baada ya muda mfupi yanaanza maneno ya kejeri plus matusi,tunasahau wote hao ni wanasiasa watanzania ngozi zao zinafanana tu,tusijipe matumaini yaliyopitiliza
aliyasema haya haya lakin je TRA ili change?
waliacha style yao ya kutumia force kwenye ukusanyaji kodi?
au waliendelea na scorching earth campaign?
 
Haya uyasemayo yalisemwa sana hapa, lakini wapambe wa malaika walikuja na majibu mengi ya kuchafue tumbo.
Nadhani sasa wanaona fedheha.
Ni dhahiri mama Samia hakukubaliana na vitendo vya kugeuza maisha ya mtanzania kuishi kama shetani kwenye nchi yake.

Kila la kheri mama Samia
Huko ni kijifariji kulikopitiliza...Mama Samia hajafanya tofauti na mtangulizi wake...infact anakaza nati zaidi...
 
Kwenye kukusanya kodi asifanye siasa akae na timu yake washauriane vizuri.Hili si jambo la kulitolea tamko tu research inahitajika.

Duniani nchi zote zilizoendelea hawana utani na masuala ya kodi. Na haijawahi kutokea watu kufurahia kulipa kodi.

Kuna miradi mkubwa inahitaji fedha na inatekelezwa kwa fedha za ndani. Awamu ya 4 walizembea kukusanya tukaaanza kutembeza bakuli kwa tuliowaita WAHISANI.

Kulikuwa na mianya mingi wawekazaji waliitumia kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha Tax holiday. Ilikuwa ni kawaida sana katika top 10 ya walipa kodi wakubwa makampuni ya madini hayapo.

Tulishuhudia mahotel yakibadilishwa majina mara tu walikaribia kufikia muda wa kulipa kodi.

ICD na bonded warehouse zilijaa mpaka vichochoroni.
Ni kweli lakini issue hapa isiwe acha punda afe lakini mzigo ufike
 
[emoji16][emoji16]Una busara sana.... mama anawaimbia taarabu wanaona ni nafasi ya kumponda mpiga reggae..

Mama anataka 2trillions a month ila wafanyabiashara wasinyanyaswe....

A beautiful myth ....
Muda utasema tu samia na ccm ni kitu kimoja mstegemee maajabu kutoka kwa samia wote huwa wanaanza kwa mbwembwe ila mwisho wa wiki wanageuka
 
Kwenye kukusanya kodi asifanye siasa akae na timu yake washauriane vizuri.Hili si jambo la kulitolea tamko tu research inahitajika.

Duniani nchi zote zilizoendelea hawana utani na masuala ya kodi. Na haijawahi kutokea watu kufurahia kulipa kodi.

Kuna miradi mkubwa inahitaji fedha na inatekelezwa kwa fedha za ndani. Awamu ya 4 walizembea kukusanya tukaaanza kutembeza bakuli kwa tuliowaita WAHISANI.

Kulikuwa na mianya mingi wawekazaji waliitumia kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha Tax holiday. Ilikuwa ni kawaida sana katika top 10 ya walipa kodi wakubwa makampuni ya madini hayapo.

Tulishuhudia mahotel yakibadilishwa majina mara tu walikaribia kufikia muda wa kulipa kodi.

ICD na bonded warehouse zilijaa mpaka vichochoroni.
Tumia akili utapata kodi nyingi lakini ukitumia miguvu utaishia kuuwa biashara na kuwakimbiza walipa kodi. Naamini hata miradi ya magufuli kwa wakati huu imesaidiwa na mikopo kwa asilimia kubwa kuliko fedha za ndani.
 
Kwa nini huwa mnaandika nchi zingine kama mifano wakati hujafanya hata tafiti yeyote nakupa mifano michache ya nchi kodi wananchi wanapenda kulipa tena Zambia, Botswana na SA yaani raia wa nchi hizo hawakwepi Kodi kwa sababu Kodi yenyewe inalipika Watanzania wapo wengi hizo Nchi kwa sababu Kodi sio kero kwao na biashara zipo kuwa na duka kubwa Bree street hapo hutasumbuliwa ishu ya Kodi SARS wakija kukagua wakiwepo wanunuzi wanatoka nje kusubiri kwenye gari wakiona wateja wamejaa bado watakuomba uwape siku hata unayopumzika waje Kariakoo imeharibiwa na hao wahuni kushikashika box mbili eti risit mpaka wazambia wananunuzi wakubwa wametukimbia inaonekana wengi hiyo Elimu ya kodi mmekaririshwa tuu...
Talking of bree street !!! Umenikumbusha mbali sanaa
 
Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.

Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.

Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.

Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.

Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.

Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
Mpotoshaji mkubwa wewe, mzandiki mara ngapi JPM amewaambia TRA kupunguza kodi? Kuna kodi ngapi zimeondolewa kwenye kipindi chake sector za utalii na sector kilimo na viwanda. Kwa JPM hamjambo kumchafua. He was the best leader ever existed in Tanzania.
 
kusanyeni trion 2 kwa mwezi hayo ni maneno yake mama hizo pesa ni nyingi sana utazipataje tuone mbinu zake za kukusanya vila bughudha kama zitafika hizo
 
Kuna mafundisho ya msingi ya dini yanasema 'lila mchunga atajaulizwa siku moja juu ya kile alichokichunga katika uhai wake '.Muumini wa kweli akitokea kuongoza watu huwa na hofu sana na hilo biti.
Kwàni wanaposema Uislamu ni dini ya haki huwa hamuelewagi!?
 
Mungu aliona jinsi tulivyawaonea donge wamarekani kwa kumuondoa Trump, akaamua kutusaidia na sisi
 
Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.

Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.

Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.

Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.

Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.

Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
Huyu Mh. Rais ni Lulu na Tunu ya Taifa. Tunaomba sana aongezewe ulinzi mkubwa sana. Pia kila mtu kwa imani yake tumuombe afya njema. Huyu ndiyo mwenye uchungu na uchumi wa nchi ambao unajengwa na sekta binafsi. Ukiona Rais anaua sekta binafsi mwogope kama ukoma. Eti waishi kama mashetani na kwamba eti ikifika kipindi fulani hujahama DSM wewe ndiyo mwanaume. Real!!!!!! Sijui kama alikuwa mtanzania halisi mwenye uchungu na watu wake na uchumi wa nchi. Tumeishi kwa hofu mno maana hujui kesho kama utasikia ndugu yako, jirani, rafiki amechukuliwa na wasiojulikana na asionekane tena milele. Yaani ni maisha ambayo hatukuyazoea. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu Mh. Samia Suluhu Hassan.
 
Kuna Awamu iliyotembeza bakuli Kama ya huyi wenu mwendazake??? Unajua deni la Taifa kwa kipindi chake cha miaka aliyokaa tu limezidi deni la Taifa la Awamu ya nne kwa miaka 10????

Nyie wafuasi wa Jiwe Embu acheni kuonesha ujinga wenu waziwazi. Kama aliwa brainwash nyie basi mkome kutulisha huo ujinga wenu
Umesahau deni limekuwa kubwa kwa sababu ya Interest accrued ya deni alilochukua Kikwete
 
Back
Top Bottom