Upendo wa Mungu umedhihirika.Mungu anaipenda sana Tanzania
Upendo wa Mungu umedhihirika.Mungu anaipenda sana Tanzania
Corona ni mkomboziMungu anaipenda sana Tanzania
Kaliondoa joka lenye sumu kali.Mungu anaipenda sana Tanzania
Mungu anawapenda sana viumbe wake ndiyo maana akatuumba, tatizo sisi wanadamu hatumpendi Mungu ndiyo maana anatusalitishia viongozi jeuri ili turudi kwake.Mungu anaipenda sana Tanzania
Unataka orodha ya mikopo ya nini? Kwahiyo wewe unabisha kuwa deni la taifa halijaongezeka awamu ya mwendazake? Ubishi mwingine ni upumbavu tu....Ebu tutajie mikopo ambayo unaifahamu mjukuu wa Tundu Lissu. Tunapozingumzia deni la taifa kuna ambayo yapo tangu enzi za awamu ya 1.
Usiropoke vitu ambavyo hauna uelewa navyo. Serikali ipi ilishawahi kukaribia ama kufuta deni la taifa?
Sukuma Gang wanampiga vita kinyama.Huyu Mama yetu ni moja kwa moja aungwe mkono
JPM alikuwa mnafiki, mambo anayoongea jukwaani ni tofauti na maagizo aliyokuwa anawapa watu wakeMsikilize Jpm hapa
Wewe sasa unaongelea kukwepa kodiKwenye kukusanya kodi asifanye siasa akae na timu yake washauriane vizuri.Hili si jambo la kulitolea tamko tu research inahitajika.
Duniani nchi zote zilizoendelea hawana utani na masuala ya kodi. Na haijawahi kutokea watu kufurahia kulipa kodi.
Kuna miradi mkubwa inahitaji fedha na inatekelezwa kwa fedha za ndani. Awamu ya 4 walizembea kukusanya tukaaanza kutembeza bakuli kwa tuliowaita WAHISANI.
Kulikuwa na mianya mingi wawekazaji waliitumia kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha Tax holiday. Ilikuwa ni kawaida sana katika top 10 ya walipa kodi wakubwa makampuni ya madini hayapo.
Tulishuhudia mahotel yakibadilishwa majina mara tu walikaribia kufikia muda wa kulipa kodi.
ICD na bonded warehouse zilijaa mpaka vichochoroni.
Mimi naamin waislam mara nyingi wana hofu ya Mungu kuliko upande mwingineKuna vitu vinapita kichwani mwangu, inawezekana wazanzibar ni wapenda haki na wana hofu ya Mungu kweli, Mimi ni mkristu lakini nimeanza kuwaza kwamba inawezekana kuna ombwe kubwa LA mafunzo ya utu, hofu ya Mungu na huruma kati ya wakristo na waislamu, maana tofauti imekuwa dhahiri ukilinganisha
Unaposema kila mkoa lazima ufikishe kiasi flan na kisipofika cheo chako kinakuwa kwenye hatihati, sasa hapo meneja wa mkoa unataka afanyeje? kama sio kuonea wananchi, nimeshuhudia wafanyakzi wa TRA wakishangilia kwa kuvuka lengo la Rais.JPM hakuvurunda. Nina hisi wengi hampo karibu na habari. Mara kadhaa alikuwa anawakanya TRA wawe wastaarabu. Uzuri mimi Tax pia ni field yangu. Tax ni Sheria na Imetungwa na Bunge. Hata Rais hawezi ipangua mpaka iende Bungeni. Tatizo la TRA ni kutoa elimu kwa mlipa kodi na pia kuto kuwa rational katika kufanya maamuzi. Unaweza kuta wanakataa kitu ambacho mbele ya macho ni cha ukweli. Lakini pia ukionewa kwenye kodi unatakiwa kufanya pingamizi ndani ya siku therathini au zaidi. Ni sheria haibadiliki kirahisi mpaka bunge liseme. TRA wawaelimishe watu. Wafanyabiashara wanaotumia wahasibu wabobezi ya tax consultants kwao kuna unafuu maana TRA na hawa wataalamu huzungumza lugha moja.
Wale wote waliokuwa wanamsifia magu walikuwa waajiriwa wa kwenye mitandao, kama unavyomuona Msiba na magazeti yake nao walikuwa hivyohivyo au kama unavyoiona TBC nao hivyohivyo.mbona wapinzani kama wamemuelewa sana mama kuna nini nyuma ya keyboard
Your Right naona wachangiaji wengi wanashangilia kubembelezwa kwenye suala la ulipaji Kodi,bado Tanzania hatuja fikia hatua ya mlipa Kodi kuonafahali kulipa Kodi kwa hiari Kwanza wafanyabiashara wetu wanafikiria namna ya kukwepa kodi yaani sio Kodi tu mtu Kwanza anafikiria hata kuiba umeme wa kiwanda chake,unaleaje mfanyabiasha/muwekezaji halipi Kodi sibora asiwepo,mtu yupo kwa ajiri ya kupata superprofite hajari Mambo yako ya Kodi,waache wakabembeleze uonaKwenye kukusanya kodi asifanye siasa akae na timu yake washauriane vizuri.Hili si jambo la kulitolea tamko tu research inahitajika.
Duniani nchi zote zilizoendelea hawana utani na masuala ya kodi. Na haijawahi kutokea watu kufurahia kulipa kodi.
Kuna miradi mkubwa inahitaji fedha na inatekelezwa kwa fedha za ndani. Awamu ya 4 walizembea kukusanya tukaaanza kutembeza bakuli kwa tuliowaita WAHISANI.
Kulikuwa na mianya mingi wawekazaji waliitumia kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha Tax holiday. Ilikuwa ni kawaida sana katika top 10 ya walipa kodi wakubwa makampuni ya madini hayapo.
Tulishuhudia mahotel yakibadilishwa majina mara tu walikaribia kufikia muda wa kulipa kodi.
ICD na bonded warehouse zilijaa mpaka vichochoroni.
Kwa nini huwa mnaandika nchi zingine kama mifano wakati hujafanya hata tafiti yeyote nakupa mifano michache ya nchi kodi wananchi wanapenda kulipa tena Zambia, Botswana na SA yaani raia wa nchi hizo hawakwepi Kodi kwa sababu Kodi yenyewe inalipika Watanzania wapo wengi hizo Nchi kwa sababu Kodi sio kero kwao na biashara zipo kuwa na duka kubwa Bree street hapo hutasumbuliwa ishu ya Kodi SARS wakija kukagua wakiwepo wanunuzi wanatoka nje kusubiri kwenye gari wakiona wateja wamejaa bado watakuomba uwape siku hata unayopumzika waje Kariakoo imeharibiwa na hao wahuni kushikashika box mbili eti risit mpaka wazambia wananunuzi wakubwa wametukimbia inaonekana wengi hiyo Elimu ya kodi mmekaririshwa tuu...Tutajie hizo kodi ili zifanyie kazi hatutaki hoja za jumla jumla. Tupe mifano
Sio swala la kubembelezwa Kodi watu tunalipa yale Mambo ya kipuuzi ya kulipishana Kodi kubwa ili utoe chochote Kama Kodi una uwezo wa kulipia yanapungua hivi unajua Zambia raia wao kutokana na Kodi kuwa favourable kutokulipa Kodi anaona kama dhambi kafanya na ikitokea mtu yeyote anakwepa hasa wageni anafunga safari kwenda kutoa taarifa maana wageni wengi mizigo ya Tanzania au SA wanapitisha transit wakipata wateja ndani wanataka kuuza hapo ndio shida inapoanzia...mizigo inayokuja Tanzania ni michache kuliko inayokwenda Zambia na Malawi...Your Right naona wachangiaji wengi wanashangilia kubembelezwa kwenye suala la ulipaji Kodi,bado Tanzania hatuja fikia hatua ya mlipa Kodi kuonafahali kulipa Kodi kwa hiari Kwanza wafanyabiashara wetu wanafikiria namna ya kukwepa kodi yaani sio Kodi tu mtu Kwanza anafikiria hata kuiba umeme wa kiwanda chake,unaleaje mfanyabiasha/muwekezaji halipi Kodi sibora asiwepo,mtu yupo kwa ajiri ya kupata superprofite hajari Mambo yako ya Kodi,waache wakabembeleze uona
Ikishaàlipuka Kesho yake kila kitu kimepanda na thamani ya ongezeko hakuna tenaNchi nzima italipuka kwa nderemo na vifijo
Wewe hutaki madam aongezee watumishi mishahara?Ikishaàlipuka Kesho yake kila kitu kimepanda na thamani ya ongezeko hakuna tena
Tuombe uzima, tutegemee kuona mengi zaidi, ameteleza kdg kwa mwigulu.
Deni la nje limepandaje?Kwenye kukusanya kodi asifanye siasa akae na timu yake washauriane vizuri.Hili si jambo la kulitolea tamko tu research inahitajika.