Tuliwaambiaga mkatupinga na mkatukatalia. Sasa wote tunaona jinsi Rais Samia anavyorekebisha

Magufuli hakuwa afisa wa TRA🤣🤣🤣
 
Wale raia wanajielewa na tax base ni kubwa sana,pili wanajua hatari watakayokutana nayo kwenye kukwepa kodi,kodi sio swala la kubembelezana
 
Wale raia wanajielewa na tax base ni kubwa sana,pili wanajua hatari watakayokutana nayo kwenye kukwepa kodi,kodi sio swala la kubembelezana
Sio kujielewa Kodi ni ndogo mimi nina jamaangu ana duka kubwa hapo Bree kariakoo ya jozi alifanya miaka karibu mitatu bila kulipa Kodi kwenye duka lake huko SARS kila akienda wanampa tax clearance wanataka ukue baadae ndio wakaanza kumlipisha Kodi tena inalipika mtu kila mwezi anashusha contena za vitu bongo wanunuzi wa ma box tuu tunasumbuliwa mno mtu anashusha contena mpaka tatu kwa siku hakuna hata wa kutaka kujua anashusha nini ndio maana Nchi zinaendelea sio kwetu kwanza anakuletea chuki za kijinga tuu...
 
Wanaolipa kodi Tanzania ni wachache sana,yaani Tax base ni ndogo kwa hiyo wachache wanaolipa wanakamuliwa haswa
 
Usimlishe maneno mama. Amesema ataendeleza wala si kurekebisha! Mbinu zinaweza kutofautiana!
Mafisadi wanaota ndoto ya mchana kuwa mama atawalegezea waanze tena kupora nchi yetu! Wanajitahidi kumlisha maneno!!
 
Wanaolipa kodi Tanzania ni wachache sana,yaani Tax base ni ndogo kwa hiyo wachache wanaolipa wanakamuliwa haswa
Upo sahihi hapo biashara inatushinda kwa sababu ninyi wachache mnaotaka kulipa Kodi kwa hiari mnageuka kuwa maadui tena...unawapelekea taarifa ya kutaka kulipa Kodi wanaotaka kupata Kodi kutoka kwako wanakuwa wakali tena daah...
 
aliyasema haya haya lakin je TRA ili change?
waliacha style yao ya kutumia force kwenye ukusanyaji kodi?
au waliendelea na scorching earth campaign?
yaaa nadhani haikuchange sana,inawezekana walichange kwa siku chache alafu wakarudi kwenye jadi yao ya kile kinachoonekana ni kubugudhi wafanyabiashara
kinachonishagaza ni watu kushangilia sana kauli aloitoa SSH utadhani ndiyo imesikika kwa mara ya kwanza leo, na kwa hakika imetutumainisha sana sasa kuwa TRA wataomba kodi yao ukikataa wanakuacha wanaenda zao,
Aweza toa kauli hiyo na mambo yakaenda vile vile maana TRA ni wale wale,sheria zao ni zile zile na kiwango wanachotakiwa kukusanya ndiyo kimeongezwa zaidi
 
Pamoja nguvu kubwa iliyokuwa ikitumika kwenye kukusanya kodi lakini ukweli ni kwamba wafanyabiashara wengi wa Kitanzania hawana utamaduni wa kupenda kulipa kodi.....hata kipindi kile cha JK ambapo inasemekana kilikuwa kipindi cha neema lakini pia wakwepa kodi walikuwepo wa kutosha.........



NB
Mimi kwa mtazamo wangu hoja ya msingi sio kukwepa kodi au kukataa kulipa kodi bali ni serikali kukaa na wadau wa biashara na TRA kuziangalia upya kodi zetu.....nyingi ni kandamizi....
 
Kusema ukweli Mama ameongea kilichokuwa kinapendeza masikioni mwa watu.....lakini kiutendaji bado TRA wana safari ndefu sana.......
 
Na hata hizo tunazolipa wanaenda kutapanya akina Ali Hapi na akina Sabaya.
 
Kuna sehemu nilipata kusikia kuwa mtu aliyewah pitia mafunzo ya upadri hafai kuwa kiongoz wa ngaz ya juu Sana maana naambiwa wanakuwaga na roho za visas Sana kutokana na vitu wanavyopitia kwenye mafunzo yao.
So nimepata picha hata slaa angepata urais angetuumiza Sana watz ,Kwanza yule father Ni dhaifu sna kwa upande wa wanawake ,hii nchi ingeongozwa kwa mawazo ya mwanamke wake .
Jiwe huyu siwez hata kumwelezea maana tayal ashakuwa mait
 
Tupo hapa miezi 6 mingi tutapata majibu.
Hata ingekuwa kumi lakin huyu mama hawez kuwa katil Kama jiwe ,ukwel Ni kwamba ukiwa rais huwez pendwa na watu wote lakin angalau watu wawe na uhuru hata wa kufanya mambo yao ya kuwapa makate wa kila siku
 
Ebu tutajie mikopo ambayo unaifahamu mjukuu wa Tundu Lissu. Tunapozingumzia deni la taifa kuna ambayo yapo tangu enzi za awamu ya 1.

Usiropoke vitu ambavyo hauna uelewa navyo. Serikali ipi ilishawahi kukaribia ama kufuta deni la taifa?
Kwa hiyo hata takwimu za huyo mwendazake huu ya kukopa huziamini?? Hujui kuwa yeye amekopa zaidi kuliko maraisi wote waliotangulia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…