mama ataongozwa na lile genge la lakezone,awe stable
Nasema hivi, kama wakiwa viongozi waadilifu, wenye upendo kwa wananchi, wenye maamuzi yenye busara kwa wananchi na wenye kuwaza maendeleo ya wananchi, wataishi kuona mbegu hio ikichipukia ya neema kwa nchi, ila wakiwa TOFAUTI na wakataka kumvuruga mama samia, mkuu nikuambie tu watanzania wale wasiopenda kunyanyaswa, wale wanaosimamia upande wa haki wakienda mahali kupiga goti na kulia mbele za Mungu nakueleza hakuna atakayebaki WATAONDOKA WOTE tutafukia huko chini ya ardhi, hutaamini.
 
Ushauri wangu kwa Mama Samia Suluhu kuhusu uteuzi wa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
A.Makamu wa Rais: Lukuvi
Sababu: 1.Ana intergrity ya kuwa Makamu wa Rais.
2.Ana uthubutu wa kufanya maamuzi magumu na ni muaminifu.
A.Anaipenda nchi yake na wananchi.
B.Waziri Mkuu Professor Kabudi/Bashiru Ali/Kassim Majaliwa(?).
Sababu:
1.Ni waaminifu
2.Wana uthubutu wa kuamua na kufanya mambo magumu.
3.Wanapenda nchi yao kwa dhati.
 
Hiyo Issue inaongelewa japo sijapata taarifa za uhakika, wengine wanasema ilirekodiwa na kamera ya simu au kamera dhaifu [amarture ] na hata quality ya background alipotangazia ni pazia tu la nyumbani ....... kimsingi bado , ' Genge" hawakuwa na mpango wa kutangaza msiba jana au leo ...walipanga aidha kushawishi Samia ajiuzulu au aweke makamu anayemtaka..

Nashangaa wenye CCM yao kwanini wanaruhusu POLEPOLE akaongeee na waandishi leo kwa jambo zito hivyo bila Kamati Kuu kumpa cha kwenda kuongea
 
Acha kumpangia Mama na kumpenyeza "mtu wa jalalani" arudi akafundishe kama at all atapata wanafunzi ambao watakuwa tayari kumsikiliza
 
Hiyo Issue inaongelewa japo sijapata taarifa za uhakika , wengine wanasema ilirekodiwa na kamera ya simu au kamera dhaifu [amarture ] , na hata quality ya background alipotangazia ni pazia tu la nyumbani ....
Ndio maana tunarudi pale pale mama alichukua maamuzi magumu aliona kuna watu wanataka kumkwamisha..... kwani Polepole anaongea kama nani maana hakuna mwenyekiti na makamu wake, yuko hoi na katibu mkuu hakuna na katibu mwenezi pia hakuna anaongea kama nani?
 
Mbona walishakosea toka mwanzo ? kwani hichi ni kifo cha ghafla? kwanin hatukuambiwa ugonjwa? katiba inasemaje rais anapoumwa? huu ni mwendelezo tuu
 
Mi ninachokumbuka tulishaambiwa hakuna kama yeye kiasi cha wanafki kutaka aongoze milele... sasa mbona ghafla hivi kusema ndio ameshapatikana.!!
 
Makamu katangazia Tanga
 
We nae na conspiracy zako hizo akili zitaruka sasa hivi
Huu ndio ukweli, hata kama huupendi. Na mkuu hata common sense tells you that kuvaa barakoa is wrong. Science proves that. Kwa sababu ya lack of Oxygen na kuvuta hewa chafu, body immunity decreases, kwa hiyo one is likely to succumb to many diseases including ya kinywa. Narudia, sio mimi ninaye sema, science proves it. Acheni kusikiliza udaku wa maadui wa Tanzania na Wanadamu.
 
Makamu katangazia Tanga
All in all mazingira ya kutangazia inaonekana ni haraka haraka..... na pia unaona hata wamesahau kwenye sheria ni siku ishirini na moja.
Muhimu tuombee taifa na tumuunge mkono kwa sababu alikuwa na vita kubwa sana.

Na toka wiki iliyopita walivyompangia aende Tanga walilenga kumuweka mbali kabisa yeye na Waziri Mkuu kwenye jambo hili. Halafu hakuna mtu mnafiki kama Mwigulu na ana tamaaa sana ya madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…