Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Umesahau Waziri mkuu.Mama Samia ataapishwa lini? Na lini anatakiwa awe ameteua Makamu wa Rais?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau Waziri mkuu.Mama Samia ataapishwa lini? Na lini anatakiwa awe ameteua Makamu wa Rais?
We nae na conspiracy zako hizo akili zitaruka sasa hiviBarakoa ni confirmation kwamba wewe ni mtumwa,na anayevaa barakoa ni mtumwa.
Pia wenye magonjwa nyemelezi wabakie majumbani, corona inafagia tu haijalishi weye ni nani.Tuvae barakoa
Mpaka kwenye swala la maombolezo mnaweka code[emoji17][emoji17]King maker
Kuna nini mkuu ambacho hatukijui tueleweshe?Hujawahi kumfahamu Samia Suluhu aiseeh
Yuko tough hasa.
Muulize Salmin Amour na hata huyo Magu mwenyewe...
Nasema hivi, kama wakiwa viongozi waadilifu, wenye upendo kwa wananchi, wenye maamuzi yenye busara kwa wananchi na wenye kuwaza maendeleo ya wananchi, wataishi kuona mbegu hio ikichipukia ya neema kwa nchi, ila wakiwa TOFAUTI na wakataka kumvuruga mama samia, mkuu nikuambie tu watanzania wale wasiopenda kunyanyaswa, wale wanaosimamia upande wa haki wakienda mahali kupiga goti na kulia mbele za Mungu nakueleza hakuna atakayebaki WATAONDOKA WOTE tutafukia huko chini ya ardhi, hutaamini.mama ataongozwa na lile genge la lakezone,awe stable
Waliokimbia kurudi kirahisi rahis tuSio rahisi kuhusu nini?
Hiyo Issue inaongelewa japo sijapata taarifa za uhakika, wengine wanasema ilirekodiwa na kamera ya simu au kamera dhaifu [amarture ] na hata quality ya background alipotangazia ni pazia tu la nyumbani ....... kimsingi bado , ' Genge" hawakuwa na mpango wa kutangaza msiba jana au leo ...walipanga aidha kushawishi Samia ajiuzulu au aweke makamu anayemtaka..Mkuu hii ishu inamkanganyiko sana mama hakwenda kuchukuliwa tanga alitangaza akiwa tanga na inaonyesha mama aliamua kutangaza kwa kulazimisha maana aliona hali inaends ndivyo sivyo ni either kuna ugomvi ndani mama akaamua kujichukulia maamuzi kama makamu wa rahisi hata anavyoongea inaonyesha kabisa haikuandaliwa maana hata mic ilikuwa ni moja tu hakuna chombo cha habari kilikuwepo ni alirekodiwa then clip ikatumwa tbc wakafanya kama ni mubashara kwaiyo mama alichukua maamuzi magumu kuna haja kubwa sana kumuombea yuko kwenye wakati mgumu sana
Acha kumpangia Mama na kumpenyeza "mtu wa jalalani" arudi akafundishe kama at all atapata wanafunzi ambao watakuwa tayari kumsikilizaUshauri wangu kwa Mama Samia Suluhu kuhusu uteuzi wa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
2.Makamu wa Rais:Kassim Majaliwa
Sababu: Ni mpole, hana uthubutu wa kufanya maamuzi magumu,ila ni muaminifu.
3.Anaipenda nchi yake.
2.Waziri Mkuu😛rofessor Kabudi.
Sababu:
1.Ni mwaminifu
2.Ana uthubuti wa kuamua na kufanya mambo magumu.
3.Anapenda nchi yake kwa dhati.
Ndio maana tunarudi pale pale mama alichukua maamuzi magumu aliona kuna watu wanataka kumkwamisha..... kwani Polepole anaongea kama nani maana hakuna mwenyekiti na makamu wake, yuko hoi na katibu mkuu hakuna na katibu mwenezi pia hakuna anaongea kama nani?Hiyo Issue inaongelewa japo sijapata taarifa za uhakika , wengine wanasema ilirekodiwa na kamera ya simu au kamera dhaifu [amarture ] , na hata quality ya background alipotangazia ni pazia tu la nyumbani ....
Makamu katangazia TangaWandugu huyu mtu alifariki tarehe 11 saa 11.30 jioni , wiki nzima Genge walikuwa na mwili wanajaribu kucheza sadakalawe ...na walikuwa hata hawana mpango wa kutangaza jana , sema kumekua na pressure kubwa toka kwa wazalendo ndani ya mfumo , pamoja na hofu kuwa leo wapinzani wangetangaza kifo kabla yao .....ikabidi watume helocopter zikamchukue Makamu Tanga mzobe mzobe aje atangaze usiku usiku ......unaweza kuona uso wake mama ulivyojaa simazi na mshangao
Huu ndio ukweli, hata kama huupendi. Na mkuu hata common sense tells you that kuvaa barakoa is wrong. Science proves that. Kwa sababu ya lack of Oxygen na kuvuta hewa chafu, body immunity decreases, kwa hiyo one is likely to succumb to many diseases including ya kinywa. Narudia, sio mimi ninaye sema, science proves it. Acheni kusikiliza udaku wa maadui wa Tanzania na Wanadamu.We nae na conspiracy zako hizo akili zitaruka sasa hivi
Hakuna haja ya jazba. Toa na wewe mawazo yako.Acha kumpangia Mama na kumpenyeza " mtu wa jalalani" arudi akafundishe kama at all atapata wanafunzi ambao watakua tayari kumsikiliza
Heri yako kaka, mimi sina bahati ya kumuona Rais yoyote wa Tanzania live toka enzi ya Mwalimu mpaka leo.Mara ya mwisho namuona Magu ni pale St Peters, alisali pale
All in all mazingira ya kutangazia inaonekana ni haraka haraka..... na pia unaona hata wamesahau kwenye sheria ni siku ishirini na moja.Makamu katangazia Tanga
Mwacheni mama atashauriana na wabobezi tusiwe na harakaHakuna haja ya jazba.Toa na wewe mawazo yako.
Mkuu huo mwanzo tu vumilia....Hakuna usalama wa nchi pale watu wanapojichotea bilioni 180 eti za kumtibu mgonjwa.
View attachment 1728516