Usisumbuke Mungu aliyeruhusu JPM aondoke ndiye yuko na control ya Taifa hili. Usisahau Mungu alimuepusha JPM na mishale mingi tu. Kama karuhusu hili litokea jua anaompango mwingine kwa Taifa hili tayari. Usisahau Tanzania imependa na kusaidia wengi tu mpaka kumwaga damu za raia wake kwa ajili ya Upendo wa Watu wa Mungu walioteseka huko kwenye mataifa mengine.
 
Ngoja tujipe moyo kihivyo,ingawa sio kila kifo kina mkono wa Mungu.Most deaths are demonic.
 
Barakoa si wanazitumia madaktari miaka na miaka?
 
Umetumwa wewe sio BURE. Jiheshimu. Na mheshimu Msiba.
 
'Kuweka MTU' wao
Kwa Rostam nakubali kabisa kabisa. Ila kwa El sasa hivi hana nguvu wala ushawishi wa kufanya vitu kama hivyo tena. Umri umeenda sana na pia afya yake siyo nzuri. Kwenye siasa za Bongo hawawezi kumsikiliza tena kwani wanajua future yake kisiasa imekwisha. Angekuwa mzima kungechimbika.
 
Kwakweli hilo ni kweli, kijasusi tuliona kuna shida mahali ambao tuna macho ya kijasusi, ila hilo GENGE hawatofanikiwa KAMWE. Kijasusi pia Leo imebidi Jaji Mstaafu mzalendo wetu mzee wetu imebidi ahojiwe ili atoe ufafanuzi mahususi kabisa katika hili ili watanzania wajue kabisa kwa uwazi, kijasusi kuna maana kubwa sana Leo Mzee Warioba amehojiwa, hadi hapo hilo GENGE wameshafeli.
 
Mama Samia ataapishwa lini? Na lini anatakiwa awe ameteua Makamu wa Rais?
Hisabati za magazijuto ziko 2025, a VP should be careful chosen. Yaani naona atahitaji display ili ajiwekee tumaini la mbele, Mama pia is given, she has a chance to prove her leadership kwa future bounty.

Get this in mind pia ile ya wao na sisi zamu yetu kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatufu asalam alekuuuu.
 
Andika zile hekaya zako za kuimba, kusifu na kuabudu za jiwe kwa CORONA
 
Umetumwa wewe sio BURE ...waambie waliokutuma ni wapumbavu. Jiheshimu. Na mheshimu Msiba.
Hakuna sheria inayonizuia kutoa maoni yangu mkuu kwa kuwa kuna msiba.Halafu nina independent mind situmwi,niombe radhi.
 
Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Mfumo dume katika ubora wake - wewe unaishi Dunia hipi, hivi zama hizi unaweza kweli kuhoji uwezo wa kiungozi wa akina mama? Wakati umekwisha shuhudia uwezo wake mkubwa wa kujieleza, upeo wa kuchambanuwa mambo kwa ufanisi mkubwa, kuzungumza a very refined Queen's English fluently, muda wote anaonekana ametulizana akili - mara ngapi tumemuona kwenye luninga akiwapa ushauri wateule wa Rais wanapo maliza kuapishwa pale Ikulu, anazumgumza akitoa kichwani mwake bila ya ku-refer popote huku ametulia kama maji kwenye mtungi - huyu mama habari nyingine nawambieni, msimchukulie poa hata kidogo.

Nikimwangalia/analyse hulka zake unikumbusha, wafuatao: Angela Merkel wa Ujerumani, Indira Ghandi, Bandranaike, Queen Beth na Magret Thatcher - under her leadership our Nation won't be disappointed I can assure you, what counts ni kamati kuu kumpatia an equally no nonsense makamu wa Rais ambaye watarandana kwa nyanja zote.
 
Wazungu wamewaharibu kweli kweli.Wamewa-pangia ratiba ya kulala na wake zenu na sasa jinsi ya kuendesha familia zenu,na ninyi kwa ujinga wenu mmekubali!Eti kuna mfumo dume,mfume dume ndio mnyama gani?Ovyoo....!Mtachezewa akili mpaka lini?
 
Hizi kauli ni za kuwaambia watoto wako wadogo walale kwa utulivu usiku. Mustakbali wa taifa hili uko mikononi mwa watu wazima wote wenye akili timamu.
 
Hizi kauli ni za kuwaambia watoto wako wadogo walale kwa utulivu usiku. Mustakbali wa taifa hili uko mikononi mwa watu wazima wote wenye akili timamu.
Yoda,I know who you are.Ila remember,Watanzania wa leo sio wale wa Mwinyi,Mkapa na Kikwete wa kuambiwa Kasungura kadogo na Mkapa.So nobody should play games,itamtokea puani.
 
Wamuapishe haraka Sana akomeshe viherehere wasijetuletea balaa maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…