Chakulinga
Senior Member
- Oct 1, 2014
- 142
- 181
Tafuta google "National Leaders Funeral Act" kila kitu kiko humo.Naomba ile crop inayonukuu siku 21, naitafuta sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta google "National Leaders Funeral Act" kila kitu kiko humo.Naomba ile crop inayonukuu siku 21, naitafuta sana.
Sioni wa kuvaa viata vya Magu.Yaani kwa ujasiri kabisa kupambana na Shetani head on!Aisee ni ujasiri wa ajabu.I believe Shetani ametaka kuonyesha kwamba he is still in control in Tanzania na spiritually nadhani kasema ngoja niwaonyeshe kwamba mnachokitegemea kiko chini ya himaya yangu na nakibeba hicho hicho.Nakumbuka bila kupepesa macho mabeberu wakisema hatutaki Rais mwingine kama Nkrumah na Nyerere!Hii inanifanya nitafakari sana kifo hiki.Is it natural?Have they by remote control switched of the electrical gadget he was using for his heart?Nawaza sana.
Ngoja tujipe moyo kihivyo,ingawa sio kila kifo kina mkono wa Mungu.Most deaths are demonic.Usisumbuke Mungu aliyeruhusu JPM aondoke ndiye yuko na control ya Taifa hili. Usisahau Mungu alimuepusha JPM na mishale mingi tu. Kama karuhusu hili litokea jua anaompango mwingine kwa Taifa hili tayari. Usisahau Tanzania imependa na kusaidia wengi tu mpaka kumwaga damu za raia wake kwa ajili ya Upendo wa Watu wa Mungu walioteseka huko kwenye mataifa mengine.
'Kuweka MTU' waoEl amechoka. Hana nguvu tena za kukimbizana na siasa.
Mkuu umfumo si ulele tu ingawa kiongozi mpya mzee labda kama ajae abadilishe mfumoKwasababu gani isiwe rahisi
Barakoa si wanazitumia madaktari miaka na miaka?Huu ndio ukweli, hata kama huupendi. Na mkuu hata common sense tells you that kuvaa barakoa is wrong. Science proves that. Kwa sababu ya lack of Oxygen na kuvuta hewa chafu, body immunity decreases, kwa hiyo one is likely to succumb to many diseases including ya kinywa. Narudia, sio mimi ninaye sema, science proves it. Acheni kusikiliza udaku wa maadui wa Tanzania na Wanadamu.
Umetumwa wewe sio BURE. Jiheshimu. Na mheshimu Msiba.Ushauri wangu kwa Mama Samia Suluhu kuhusu uteuzi wa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
A.Makamu wa Rais: Kassim Majaliwa
Sababu: 1.Ni mpole, hana uthubutu wa kufanya maamuzi magumu ila ni muaminifu.
2.Anaipenda nchi yake.
B.Waziri Mkuu Professor Kabudi/Bashiru Ali.
Sababu:
1.Ni waaminifu
2.Wana uthubutu wa kuamua na kufanya mambo magumu.
3.Wanapenda nchi yao kwa dhati.
Kwa Rostam nakubali kabisa kabisa. Ila kwa El sasa hivi hana nguvu wala ushawishi wa kufanya vitu kama hivyo tena. Umri umeenda sana na pia afya yake siyo nzuri. Kwenye siasa za Bongo hawawezi kumsikiliza tena kwani wanajua future yake kisiasa imekwisha. Angekuwa mzima kungechimbika.'Kuweka MTU' wao
Kwakweli hilo ni kweli, kijasusi tuliona kuna shida mahali ambao tuna macho ya kijasusi, ila hilo GENGE hawatofanikiwa KAMWE. Kijasusi pia Leo imebidi Jaji Mstaafu mzalendo wetu mzee wetu imebidi ahojiwe ili atoe ufafanuzi mahususi kabisa katika hili ili watanzania wajue kabisa kwa uwazi, kijasusi kuna maana kubwa sana Leo Mzee Warioba amehojiwa, hadi hapo hilo GENGE wameshafeli.Hiyo Issue inaongelewa japo sijapata taarifa za uhakika, wengine wanasema ilirekodiwa na kamera ya simu au kamera dhaifu [amarture ] na hata quality ya background alipotangazia ni pazia tu la nyumbani ....... kimsingi bado , ' Genge" hawakuwa na mpango wa kutangaza msiba jana au leo ...walipanga aidha kushawishi Samia ajiuzulu au aweke makamu anayemtaka..
Nashangaa wenye CCM yao kwanini wanaruhusu POLEPOLE akaongeee na waandishi leo kwa jambo zito hivyo bila Kamati Kuu kumpa cha kwenda kuongea
Hisabati za magazijuto ziko 2025, a VP should be careful chosen. Yaani naona atahitaji display ili ajiwekee tumaini la mbele, Mama pia is given, she has a chance to prove her leadership kwa future bounty.Mama Samia ataapishwa lini? Na lini anatakiwa awe ameteua Makamu wa Rais?
Hakuna sheria inayonizuia kutoa maoni yangu mkuu kwa kuwa kuna msiba.Halafu nina independent mind situmwi,niombe radhi.Umetumwa wewe sio BURE ...waambie waliokutuma ni wapumbavu. Jiheshimu. Na mheshimu Msiba.
Utawala mpya huu unaingia mjomba.Mkuu umfumo si ulele tu ingawa kiongozi mpya mzee labda kama ajae abadilishe mfumo
Mfumo dume katika ubora wake - wewe unaishi Dunia hipi, hivi zama hizi unaweza kweli kuhoji uwezo wa kiungozi wa akina mama? Wakati umekwisha shuhudia uwezo wake mkubwa wa kujieleza, upeo wa kuchambanuwa mambo kwa ufanisi mkubwa, kuzungumza a very refined Queen's English fluently, muda wote anaonekana ametulizana akili - mara ngapi tumemuona kwenye luninga akiwapa ushauri wateule wa Rais wanapo maliza kuapishwa pale Ikulu, anazumgumza akitoa kichwani mwake bila ya ku-refer popote huku ametulia kama maji kwenye mtungi - huyu mama habari nyingine nawambieni, msimchukulie poa hata kidogo.Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
For a short while,sio muda wote.Barakoa si wanazitumia madaktari miaka na miaka?
Wazungu wamewaharibu kweli kweli.Wamewa-pangia ratiba ya kulala na wake zenu na sasa jinsi ya kuendesha familia zenu,na ninyi kwa ujinga wenu mmekubali!Eti kuna mfumo dume,mfume dume ndio mnyama gani?Ovyoo....!Mtachezewa akili mpaka lini?Mfumo dume katika ubora wake - wewe unaishi Dunia hipi, hivi zama hizi unaweza kweli kuhoji uwezo wa kiungozi wa akina mama? Wakati umekwisha shuhudia uwezo wake mkubwa wa kujieleza, upeo wa kuchambanuwa mambo kwa ufanisi mkubwa, kuzungumza a very refined Queen's English fluently, muda wote anaonekana ametulizana akili - mara ngapi tumemuona kwenye luninga akiwapa ushauri wateule wa Rais wanapo maliza kuapishwa pale Ikulu, anazumgumza akitoa kichwani mwake bila ya ku-refer popote huku ametulia kama maji kwenye mtungi - huyu mama habari nyingine nawambieni, msimchukulie poa hata kidogo.
Nikimwangalia/analyse hulka zake unikumbusha, wafuatao: Angela Merkel wa Ujerumani, Indira Ghandi, Bandranaike, Queen Beth na Magret Thatcher - under her leadership our Nation won't be disappointed I can assure you, what counts ni kamati kuu kumpatia an equally no nonsense makamu wa Rais ambaye watarandana kwa nyanja zote.
Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi Tanzania. Tumewahi kuondokewa na Waziri Mkuu akiwa madarakani, Makamu wa Rais, mawaziri n.k Huu ni wakati wa mapitio yetu. Taifa litaendelea kuwa salama na kwa pamoja katika maombolezo yetu tuondoe utata wowote ule; mama Samia Suluhu Hassan ameandaliwa na ndio sababu amekuwa makamu wa Rais mara hizi mbili chini ya Magufuli. Taifa liko salama mikononi mwake na tumwombee hekima, ujasiri, na kuthubutu anapoliongoza kupitia maombolezo ya kitaifa na hatimaye kushika usukani wa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki mama Samia Suluhu Hassan
Amina.
WatanzaniaTukoPamoja.
Yoda,I know who you are.Ila remember,Watanzania wa leo sio wale wa Mwinyi,Mkapa na Kikwete wa kuambiwa Kasungura kadogo na Mkapa.So nobody should play games,itamtokea puani.Hizi kauli ni za kuwaambia watoto wako wadogo walale kwa utulivu usiku. Mustakbali wa taifa hili uko mikononi mwa watu wazima wote wenye akili timamu.
Wamuapishe haraka Sana akomeshe viherehere wasijetuletea balaa maanaHiyo Issue inaongelewa japo sijapata taarifa za uhakika, wengine wanasema ilirekodiwa na kamera ya simu au kamera dhaifu [amarture ] na hata quality ya background alipotangazia ni pazia tu la nyumbani ....... kimsingi bado , ' Genge" hawakuwa na mpango wa kutangaza msiba jana au leo ...walipanga aidha kushawishi Samia ajiuzulu au aweke makamu anayemtaka..
Nashangaa wenye CCM yao kwanini wanaruhusu POLEPOLE akaongeee na waandishi leo kwa jambo zito hivyo bila Kamati Kuu kumpa cha kwenda kuongea