Unasema huhongo bhana! Hawamu hii watu watandelea tu kurukwa kama hawamu zilizopita.
 
Sasa hivi tutaendelea na Ujambazi wetu Kama kawa.

Ukija ofisini Kama huna 10% sikuhudumii ng'oo. La sivyo faili lako utalifuatilia Hadi soli ya viatu iishe.

Na ukileta jeuri nakupiga vibao na bado Polisi nakupeleka na unafungwa.
Ina maana watu walikuwa hawafanyi hayo kwa kumuogopa JPM.
 
Sasa hivi tutaendelea na Ujambazi wetu Kama kawa.

Ukija ofisini Kama huna 10% sikuhudumii ng'oo. La sivyo faili lako utalifuatilia Hadi soli ya viatu iishe.

Na ukileta jeuri nakupiga vibao na bado Polisi nakupeleka na unafungwa.
Daaah we jamaaa umenifanya nicheke huku mamia[emoji24][emoji24][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hii ni awamu ya tano ila Samia ni rais wa sita. Awamu wa sita itaanza 2025 Nov
 
Mama awe serious na maisha ya watanzania, hii nchi haijafikia hatua ya kuondoa uhai wa mtu kisa anakupinga awe serious na maisha ya watu aiseee, kuishi kama mkimbizi kwenye nchi yako mwenyewe sio poa kabisa.

Fungua fursa za uwekezaji, ongezea nguvu kwenye sekta binafsi, pandisha madaraja, ongezea mishahara Kwa mjibu wa katiba , endelea kukomesha ujambaz kama alivyofanya JPM, Waajiri vijana kadir inavyowezekana, Saidia wakulima kufungua masoko nje.

Pambana na ufisadi, kuwa makini Sana na miradi mizito na mikubwa inayozidi uwezo wa Taifa , usilazimishe Kula nyama za 10000 wakat uwezo wako ni wali wa 1000 utalaza njaa watu. Naamini utafika mbali Sana, Mungu ibariki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…