Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wewe ni MATAGA tu wa lumumbaUna nijuha mimi ni nani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni MATAGA tu wa lumumbaUna nijuha mimi ni nani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa ikijaa mitaani tutarudi enzi ya awamu ya pili.Hela ijae mtaani mengine watajijua wenyewe .
Unasema huhongo bhana! Hawamu hii watu watandelea tu kurukwa kama hawamu zilizopita.Habari wadau!
Kuna walevi naona wameshaanza kujiandaa kuhusu kale ka utaratibu kao ka mupe muruke mupe muruke.
Nataka niwasihi tu watulie baba zangu hawamu hii hatutakuwa na mupe muruke kama hawamu ya JK ila tutaregeza kidogo angalau muwe mnapata kabia kamoja au tuwili maana miradi mingi aliyoanzisha mzee ipo 95 percent kukamilika hivyo hatutakaza sana jamani.
Nasema uongo ndugu zangu ??
Ina maana watu walikuwa hawafanyi hayo kwa kumuogopa JPM.Sasa hivi tutaendelea na Ujambazi wetu Kama kawa.
Ukija ofisini Kama huna 10% sikuhudumii ng'oo. La sivyo faili lako utalifuatilia Hadi soli ya viatu iishe.
Na ukileta jeuri nakupiga vibao na bado Polisi nakupeleka na unafungwa.
Daaah we jamaaa umenifanya nicheke huku mamia[emoji24][emoji24][emoji1][emoji1][emoji1]Sasa hivi tutaendelea na Ujambazi wetu Kama kawa.
Ukija ofisini Kama huna 10% sikuhudumii ng'oo. La sivyo faili lako utalifuatilia Hadi soli ya viatu iishe.
Na ukileta jeuri nakupiga vibao na bado Polisi nakupeleka na unafungwa.
Nshomile nini! Mbona kuna utata kwenye Kiswahili chako.Unasema huhongo bhana! Hawamu hii watu watandelea tu kurukwa kama hawamu zilizopita.
you think small😂😂Kajifunze kuandika kwanza, 'hawamu' ndo kitu gani hicho?
Hii ni awamu ya tano ila Samia ni rais wa sita. Awamu wa sita itaanza 2025 NovHabari wadau!
Kuna walevi naona wameshaanza kujiandaa kuhusu kale ka utaratibu kao ka mupe muruke mupe muruke.
Nataka niwasihi tu watulie baba zangu hawamu hii hatutakuwa na mupe muruke kama hawamu ya JK ila tutaregeza kidogo angalau muwe mnapata kabia kamoja au tuwili maana miradi mingi aliyoanzisha mzee ipo 95 percent kukamilika hivyo hatutakaza sana jamani.
Nasema uongo ndugu zangu ??
Kipimo kinaanza hapo meimosi ni ama wafanyakazi wamweke moyoni au wamweke kwenye bin kama mtangulizi wake.Tuone siku 100 za kwanza
Shaka ondoa bwashee!Tuone siku 100 za kwanza
Safi sanaRais Samia Suluhu Hassan amesema yeye ndiye Rais wa JMT hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi atawavusha.
Amesema yeye ni Rais wa JMT ambaye ni mwanamke.
Maendeleo hayana vyama!
Mwigulu aka Dr. Mwigulu anakwambia "Unahamka .....🤣Kutoka tatizo la l na r, sasa tumeingia kwenye tatizo la h na a. Awamu imekuwa hawamu, hasara imekuwa asala.