Tumalize Ubishi: Naombeni Ushahidi wa Uuzwaji wa Bandari

Umekuwa malaika kujua watu wanawaza nini mioyoni mwao?
 
Hili ni jukwaa huru. Hakuna aliyeshikiwa bunduki hapa. Watu waseme na kuweka uthibitisho wa huo uuzaji hapa
Kweli mkuu wasipotoshe watu hawa jamaa, kama wao wana uthibisho kuwa biashara ilishafanyika WALETE HAPA USHAHIDI !
WAACHE LONGOLONGO ZAO
 
Mwl Nyerere: Mtu akikuambia jambo la kipumbavu ilhali anajua kuwa unajua anasema upumbavu, basi mtu huyo ANAKUDHARAU!!!!

Lord Denim, dharau Kwa Watanzania Zina mwisho wake!!

Tusubiri.
 
Ni ujinga zaidi pale unapotumia nguvu nyingi kumpa facts mjinga ambaye anatetea mambo yaliojaa ujinga. Msimamo wako kuhusu mjadala wa Bandari tunaujua fika. Usitulazimishe tuamini unachokiamini wewe. Tuache Watanganyika na Tanganyika yetu.
Maana yake hauna ushahidi, unapiga porojo tu, au siyo?
 
Mwl Nyerere: Mtu akikuambia jambo la kipumbavu ilhali anajua kuwa unajua anasema upumbavu, basi mtu huyo ANAKUDHARAU!!!!

Lord Denim, dharau Kwa Watanzania Zina mwisho wake!!

Tusubiri.
Acha maneno weka uthibitisho bwana
 
Weka kwanza huo ushahidi. Nitakachofanya nakijua mimi
Unataka kuanzisha ubishi wa kitoto siyo?

Kwani kama hazijauzwa huku wewe ukiwa na uhakika huo, why trouble yourself asking evidences from people?

Huna uhakika na ukweli wa ushahidi ulionao wewe kuwa hazijauzwa au..???
 
Weka wewe ushahidi kua haijauzwa yoteyote bali wamepewa kwa muda watarudisha siku fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…