Tumalize Ubishi: Naombeni Ushahidi wa Uuzwaji wa Bandari

Huwezi kupata kwa sababu bandari haijauzwa.🀣
 
Sababu tu inayosemwa ya ubinafsishaji/uuzwaji wa bandari itakwambia watu wetu ni wa aina gani na inatosha kabisa kuacha kuwatetea.
 

Akili huna, unatulipa bei gani?
 
Soma mada elewa ndo ujibu
Mbona na wewe umeshindwa kuelewa. Si ndio maada ya mktaba kuwa una ukomo lini. Yaani hii dp itakuwa Ni wahuni wa hapa hapa home, na wamejipanga kuuza na kumiliki umeme wa bwawa la NYERERE,why umeme usishuke Bei kwanza na huku tuliambiwa ivyo sawa na gesi,
 
Msisitizo:
Sitaki longolongo, Weka ushahidi wa Bandari kuuzwa
Kumpa mtu umiliki wa mali na haki zote kwa muda usio na kikomo kuna tofauti gani na kumuuzia? Au ulitaka uoneshwe reciept ya mauzo kabisa? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Dada yako akiwekwa kiunyumba na muhuni kwa zaidi kwa zaidi ya miezi 6 hata kama hajalipiwa mahari serikali yenyewe inamtambua kama Mke. Thats an implied condition.
 
Unataka kuanzisha ubishi wa kitoto siyo?

Kwani kama hazijauzwa huku wewe ukiwa na uhakika huo, why trouble yourself asking evidences from people?

Huna uhakika na ukweli wa ushahidi ulionao wewe kuwa hazijauzwa au..???
Kwa hiyo unakili wanaosema zimeuzwa ni wazandiki na waongo sio?
 
Kwa hiyo ushahidi wako wa kuuzwa ni suala la ukomo wa mkataba?
 
Wakikujibu nijuze na mie
 
Amepewa umiliki wa Mali zote zipi? Kwa mujibu wa kifungu kipi?
 
Kumpa DP world lease isiyo na ukomo unailewaje au unatafsiri je hiyo lease?
NB: Bila CCM kukurudishia ubongo wako mbona utateseka sana "INJI" hii.
 
Chawa wa mama mshapigwa marufuku
 
Kumpa DP world lease isiyo na ukomo unailewaje au unatafsiri je hiyo lease?
NB: Bila CCM kukurudishia ubongo wako mbona utateseka sana "INJI" hii.
Weka ushahidi bwashee! Mnadai Bandari zote zimeuzwa, uzi unataka ushahidi wa huo uuzwaji sio longolongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…