Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Tuko page ya 4 sasa. Tunaomba majibu wana Chadema na Washirika wenu
 
Shida sio Lisu au wengine wanaopinga mkataba, shida ni nyinyi na uchawa wenu mnasema tutapata kiasi fulani au ajira kadhaa kutokana na huu uwekezaji.

Sasa sisi tunauliza imeandikwa wapi ??
 
Nimesema sitaki longolongo.

Mimi ni mwanasheria gwiji pia. Nimeweka swali hapo lijibiwe kama nilivyouliza. Hakuna longolongo hapa!!
Bqadq ya kupitia andiko lako, nimejionea kuwa Ugwiji wako upo kwenye poropaganda za kuambiwa na wajinga wachache wanaoendelea kujishikiza kwenye chama mfu CCM wakitarajia siku moja watapata fadhila ya uteuzi.

Endelea kumwaga pumba zako hapa tuendelee kupima kiwango chako cha ujinga. Ina maana wewe ni gwiji kumzidi hata profesa Shivji aliyewafundisha sheria majaji wengi unaowasikia?

Nchi hii imejaa watu wajinga sana. Na tatizo kubwa hao wajinga wanaosubiri mpaka waambiwe na kushikiwa akili na viongozi uchwara wa CCM, nao wanajiona eti wana akili sana.

Pole sana. Endapo Mungu atakupa neema ukajitambua utatubu hapa hapa.
 
Shida sio Lisu au wengine wanaopinga mkataba, shida ni nyinyi na uchawa wenu mnasema tutapata kiasi fulani au ajira kadhaa kutokana na huu uwekezaji.

Sasa sisi tunauliza imeandikwa wapi ??
Rejea angalizo la swali
 
Hii issue ya Bandari, kilichonyuma ya pazia kwa sehemu kubwa ya waluofront kuikataa kwa zaidi wanachagizwa na msukumo wa kidini na si vinginevyo. Hata kama kuna uwepo wa marekebisho madogo, lakini limekuzwa kwa kiwango kikubwa saana kwa vile tu walioingia Mkataba huo ni Waarabu (ambao wengi huchukulia kuwa ni waislam, ingawa hata uarabuni kuna wakristo kama ilivyokuwa Israel kuna Waislamu wengi zaidi ya wakristo), huku pia rais akiwa muislamu.

Kwa wasiojua wamelivaa kwa hasira kuu huku kiini kikiwekwa kwapani. Ndio maana kwenye hii issue ni agharabu kumkuta mkristo akiongea kwa uzuri juu ya jambo hili. Angalia jinsi kwenye mkutano pale Mbagara viongozi wa dini walivyosema.

Nadhani, mkataba ungeingiwa kati ya Tz na Wamarekani, Italy au Uingereza kama mikataba mingi iliyoingiwa huko nyuma kama EPA kusingekuwa na shida hii tunayoiona. Ndio maana hata Mkataba na TICKS pale bandarini tulioingia na Wazungu wa kikaguru haukuwahi kupigiwa kelele hizi licha ya kuwa nao walikaa bandarini muda muda mrefu na tija ikiwa ndogo.

Rai yaangu ni kwamba tukosoe kwa haki pale kweli panastahili kukosolewa, tuoneshe dosari iko wapi kwa kurejea taratibu za mikataba ya kimataifa inataka kwa maslahi ya taifa na sivinginevyo.
 
Umesoma angalizo? Majibu please sio longolongo
 


Umekaa humu wewe keyboard worrier, hufahamiki popote, unataka ku challenge Lisu kwa Mambo ya sheria, wewe ni wa Kupuuza, kwamba kuna mtu atapoteza mda kuku jibu.
 
mm najiuliza kama mkataba ni mnono kwa nn kwao Zanzibar hakutaka pawekezwe pia.hyo ndio inanitatanisha.
 
Wanakangwa na mafuta yao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…