Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Ukipata muda pitia CV yake mkuu. Utangundua kitu kikubwa sanaHaijalishi kilicho sainiwa ni kitu gani, alicho saini Samia kinatufanya tutilie shaka akili yake.
Mwanasheria gwiji unauza Bandari?.Nimesema sitaki longolongo.
Mimi ni mwanasheria gwiji pia. Nimeweka swali hapo lijibiwe kama nilivyouliza. Hakuna longolongo hapa!!
Hii mada inatakiwa hoja ijibiwe, maneno werevu baada ya kujibu mada.Hupendi maneno ya werevu kwasababu ya kuzoea kuishi kwenye ujinga, ndio maana unawapenda wajinga wenzio.
Jibu hoja halafu mnukuu Profesa Shivji.Mbona huja hoji prof. Shivji alivyo kosoa huu mkataba? Inna onyesha uelewa wako ni mdogo
Sina habari hiyo. Jibu mada iliyopo, usihamishe magoli.Huna habari tumewapa bandari DP World kwa sababu sisi ni wajinga wasio na akili wala uadilifu wa kusimamia kilicho chetu?
Sawa, lakini mbona hatutumii akili zetu wenyewe kuzisimamia taasisi zetu kama bandari hadi tuwakabidhi Waarabu?
Huko ughaibuni kila siku mnapelekeshwa na malipo mnalipa.Wana sheria wenu uchwara kule Mbeya walibwagwa mahakamani kwenye hilo mapema tu, wakaufyata.
Hujasoma updates za @@Mdude_Nyagali na Erythrocyte?
Kuna muda sio mrefu unakuja mbeleni hawa wanasiasa watashindwa kupata wajinga wa kuwadanganya huko kwenye mikutano ya kisiasa.Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.
Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.
Nawasubiri!!
Ameshapewa mwekezaji mmoja kutoka Oman bado hii ya salama anasubiri kupewa wa Dubai.Akawape bandari za ZANZIBAR.
Sio masuala mepesi kama sentensi zako zinavyoyaongelea. Bungeni unapita ufupisho wa mkataba mzima kumbuka biashara ni pana sana ya bandari na huko kwenye mikataba ya ukodishaji na upangishaji ndio kila kitu kinawekwa.Kwamba Haya so Called Makubaliano yanayofanyika Sharti yasiwe na Vipengele vya Mwenye Mali ananufaiki vipi tu the T.....
Na hayo makubaliano ambayo hayaeleweki Mkataba utakuwaje ndio yanakubaliwa Bungeni kwa Niaba ya Mwananchi alafu Mikataba yenyewe ya tunapata nini itakuja baadae ambayo tutakuwa hatujui kama kweli tunachopata ni sawa au sio sawa sababu ni Siri ? Na siri hizi ndio zimesababisha tupigwe mpaka leo hii ?
Sihitaji kuwa mwanasheria kujua kwamba hayo so called makubaliano ni Raw Deal...; Na mimi kama mwananchi kusema kwamba tuendelee na mtiririko huo sababu eti Duniani kote ndio utaratibu, Basi huo Utaratibu kwa Tanzania haufai na ndio umetufikisha hapa tulipo
Mada ya kipuuzi umeiona ya maana kwasababu upeo wako na huyo bwana'ko mnafanana.Hii mada inatakiwa hoja ijibiwe, maneno werevu baada ya kujibu mada.
Mkuu Yohane hao uliowaandika ndio wasomi kwa fikra zako?. Mkuu usichekeshe umma.Asikudanganye mtu Tanzania hakuna Wasomi na hata ukiangalia wanaojitahidi ndio hawa Akina Mnyika, Kibajaj na wale vyeti feki ambao wanatumia Uwezo binafsi
Mpuuzi ni Lissu anayejenga hoja nyepesi na kukubalika vichwani mwa watu wa aina yako.Mada ya kipuuzi umeiona ya maana kwasababu upeo wako na huyo bwana'ko mnafanana.
Na wewe ungetuletea IGA nyingine zaidi ya hii yetu kama zinapatikana kirahisi hivyo.Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.
Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.
Nawasubiri!!
Hayo mapato ya 27 trillion yapo wapi ktk IGANimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.
Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.
Nawasubiri!!
Kwa kumbukumbu zangu, hili swali ungemwuuliza aliyesema Tanzania itaingiza mapato trillioni kazaa. Hili sio swali la kumuuliza Lissu.Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.