Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Asante!!
 
Attachments

  • F05C7993-9B73-4179-AC36-B0489A9D35FC.jpeg
    F05C7993-9B73-4179-AC36-B0489A9D35FC.jpeg
    60 KB · Views: 3
Huna habari tumewapa bandari DP World kwa sababu sisi ni wajinga wasio na akili wala uadilifu wa kusimamia kilicho chetu?

Sawa, lakini mbona hatutumii akili zetu wenyewe kuzisimamia taasisi zetu kama bandari hadi tuwakabidhi Waarabu?
Sina habari hiyo. Jibu mada iliyopo, usihamishe magoli.
 
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.

Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.

Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848

Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.

Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!

Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.

Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.

Nawasubiri!!
Kuna muda sio mrefu unakuja mbeleni hawa wanasiasa watashindwa kupata wajinga wa kuwadanganya huko kwenye mikutano ya kisiasa.

Mtaji mkubwa sana wa wanasiasa ni wale wanaowadanganya huko mikutanoni, na hao wanakwenda wakipungua kila siku kwani jamii inazidi kuelimika na google inatumika vizuri katika kupunguza idadi ya wajinga wanaodanganywa.

Lissu anajichora kuzunguka kote anapopita na kuongea pumba za kisheria.
 
Kwamba Haya so Called Makubaliano yanayofanyika Sharti yasiwe na Vipengele vya Mwenye Mali ananufaiki vipi tu the T.....

Na hayo makubaliano ambayo hayaeleweki Mkataba utakuwaje ndio yanakubaliwa Bungeni kwa Niaba ya Mwananchi alafu Mikataba yenyewe ya tunapata nini itakuja baadae ambayo tutakuwa hatujui kama kweli tunachopata ni sawa au sio sawa sababu ni Siri ? Na siri hizi ndio zimesababisha tupigwe mpaka leo hii ?

Sihitaji kuwa mwanasheria kujua kwamba hayo so called makubaliano ni Raw Deal...; Na mimi kama mwananchi kusema kwamba tuendelee na mtiririko huo sababu eti Duniani kote ndio utaratibu, Basi huo Utaratibu kwa Tanzania haufai na ndio umetufikisha hapa tulipo
Sio masuala mepesi kama sentensi zako zinavyoyaongelea. Bungeni unapita ufupisho wa mkataba mzima kumbuka biashara ni pana sana ya bandari na huko kwenye mikataba ya ukodishaji na upangishaji ndio kila kitu kinawekwa.

IGA inaweza kuwa na kurasa 30 tu lakini Consession na Lease zinakuwa na kurasa mpaka 200, kila kitu kinawekwa humo kwa kirefu.
 
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.

Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.

Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848

Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.

Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!

Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.

Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.

Nawasubiri!!
Na wewe ungetuletea IGA nyingine zaidi ya hii yetu kama zinapatikana kirahisi hivyo.
 
Hayo mapato ya 27 trillion yapo wapi ktk IGA
 
Kwa kumbukumbu zangu, hili swali ungemwuuliza aliyesema Tanzania itaingiza mapato trillioni kazaa. Hili sio swali la kumuuliza Lissu.
 
Back
Top Bottom