Tumalize ubishi wa miamba hii ya muziki nchini kati ya Chidumule, Bitchuka na hayati TX Moshi, nani alikuwa mtunzi na muimbaji mzuri?

Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.

Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?

Au Cosmos Chidumule?

Au hayati Tx Moshi?
Wote walikuwa vizuri ila hakuna anayemfikia Simba la Masimba....
 
Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.

Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?

Au Cosmos Chidumule?

Au hayati Tx Moshi?
Kwangu mimi wote walikuwa wakali, kwa maana kila mmoja alikuwa na aina ya utunzi na sauti ambazo zilifikisha ujumbe kwa wasikilizaji kwa aina tofauti. Hata hivyo mimi ni mshabiki wa nyimbo za Chidumule.
 
Wanamuziki wote wa zamani kwangu walikuwa bora na wazuri,tukianza na akina Mwinyishehe M’baraka changanya Dr Remy kuna mzee Zoro Zahir enzi za akina Mbwembwe Suleiman hakuna waliokuwa na kazi mbovu nyimbo zilijaa ujumbe wa kutosha.

Unfortunately baadhi yao wamekufa maskini wa kutupwa hata waliopo leo hawana maisha ila sasa tuna wasanii wenye mafanikio makubwa just kwa kuimba “paka mate joka lizame kwa mpalange“
 
Nilivyomuhusudu mtoto merry sijapata kupenda toka nizaliwee🎵🎵.
Nasononekaaa,🎵🎵
Ee niemezama Kwenye dimbwi ,,la mapenzi 🎵
Mapenzi ninsawa na ajalli Haina kinga eee🎵🎵.

Ayaa yaa maria wangu ,ohh maria wangu 🎵🎵.

Huyu alikuwa nani ?
Hii nyimbo alipiga nani?
 
Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.

Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?

Au Cosmos Chidumule?

Au hayati Tx Moshi?
Weka na nyimbo zao walizotunga tuone plz
 
Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.

Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?

Au Cosmos Chidumule?

Au hayati Tx Moshi?

Aiseee hao wote ni Miamba ...Chidumule akiwa na Ramadhani Mtoro(Dr Remmy) naye alitisha.
 
Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.

Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?

Au Cosmos Chidumule?

Au hayati Tx Moshi?
Kwa upande wangu, Shaban Ally Mhoja Kishiwa (TX Moshi William) ndio mtunzi bora wa mwisho mwisho wa muziki wa dansi.

Baada ya kifo chake, Msondo ngoma ikajifia kimyakimya!!

Anyway, jamaa alishawahi kuua huko Tanga na kukimbilia Dar
 
Chidumule nimemfahamu kwenywe nyimbo zake za gospel huko kwingine sijui
 
Kwa upande wangu, Shaban Ally Mhoja Kishiwa (TX Moshi William) ndio mtunzi bora wa mwisho mwisho wa muziki wa dansi.

Baada ya kifo chake, Msondo ngoma ikajifia kimyakimya!!

Anyway, jamaa alishawahi kuua huko Tanga na kukimbilia Dar
Alishiriki katika ugomvi uliopelekea kifo cha mtu mmoja si kwamba alimshambulia huyo marehemu moja kwa moja na kumuua.
 
Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.

Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?

Au Cosmos Chidumule?

Au hayati Tx Moshi?
Muongeze na Kamanda Muhidin Gurumo na Mgosi mwenzangu Hussein Jumbe kwenye huu mpambano.
 
Nilivyomuhusudu mtoto merry sijapata kupenda toka nizaliwee🎵🎵.
Nasononekaaa,🎵🎵
Ee niemezama Kwenye dimbwi ,,la mapenzi 🎵
Mapenzi ninsawa na ajalli Haina kinga eee🎵🎵.

Ayaa yaa maria wangu ,ohh maria wangu 🎵🎵.

Huyu alikuwa nani ?
Hii nyimbo alipiga nani?
HEmedi maneti huyo baba mkwe
 
Back
Top Bottom