Uchaguzi 2020 Tume imemwita Tundu Lissu, lakini haina mamlaka wala uwezo wa kumuadhibu

Uchaguzi 2020 Tume imemwita Tundu Lissu, lakini haina mamlaka wala uwezo wa kumuadhibu

Kila nikiiangalia tume hii nawaona makada tu wa ccm na sio tume huru ya uchaguzi.Tangu pale tume ilipoengua wagombea wa ubunge na udiwani kwa vyama vya upinzani, sina imani kabisa na tume hii
 
Eeeh kumekucha, tume imemuita Lisu kwa kauli ya kwamba endapo uchaguzi utavurugika wataingia barabarani, sasa napenda kuiuliza Tume, inamaana ni kweli wana mpango wa kuvuruga uchaguzi? Maana kama wasingekuwa na mpango huo basi hata kusingekuwepo na haja ya kumuita Lissu lakini ni dhahiri tayari mpango upo. Hii ni hatari sana
 
Watu wana haki ya kuhoji kama haki haikutendeka. njia halali kabisa ya kuhoji ni maandamano na yanafanyika barabarani. sioni sababu ya Lissu kuitwa kwa kukusudia kufanya kitu halali kabisa.

Utawala wa magu haufai kabisa kudai haki ya umma ni uchochezi.
 
Tumetangaziwa kwamba Tundu Lissu ameitwa kujieleza kwa nini anasema wataingia barabarani. Suala hili linachiambuliwa kisheria namna hii...
Kutafuta haki ni maumbile ya ubinadamu ambayo hakuna duniani anayeweza kuyaondoa. Binadamu ni kiumbe kinachoweza kutenda au kutotenda haki na haki. Binadamu asitemtendea haki mwenzake hiyo ni dhuluma na kama hakuna sheria ya kuondoa dhuluma hiyo basi aliyedhlumiwa ana mamlaka ya kufanya lolote kupata haki yake.[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji1534][emoji1534][emoji1534]
 
Umeandika vizuri mno Mkuu manana hawa Mataga wanadhani bado tunasiliza radio mkulima huku kijijini. Kama tume na mamlaka zingine hazina uwezo wa kumzuia mtu atakaye tangazwa Kuwa rais wetu hata kama ameiba kura au ni mgonjwa wa Akili sisi wananchi tuta fanya jambo letu hatutanii. Uonevu sasa baathiiiii

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Kutafuta haki ni maumbile ya ubinadamu ambayo hakuna duniani anayeweza kuyaondoa. Binadamu ni kiumbe kinachoweza kutenda au kutotenda haki na haki. Binadamu asitemtendea haki mwenzake hiyo ni dhuluma na kama hakuna sheria ya kuondoa dhuluma hiyo basi aliyedhlumiwa ana mamlaka ya kufanya lolote kupata haki yake.
 
Lissu ameshaweka wazi tunataka uchaguzi huru na wahaki, hatutakubali kuibiwa kura zetu! Na amesema wakijaribu kuvuruga uchaguzi huu ataingiza watu barabarani! Tundu Lissu anawalaza watu na viatu
Kutafuta haki ni maumbile ya ubinadamu ambayo hakuna duniani anayeweza kuyaondoa. Binadamu ni kiumbe kinachoweza kutenda au kutotenda haki na haki. Binadamu asitemtendea haki mwenzake hiyo ni dhuluma na kama hakuna sheria ya kuondoa dhuluma hiyo basi aliyedhlumiwa ana mamlaka ya kufanya lolote kupata haki yake.
 
Kutafuta haki ni maumbile ya ubinadamu ambayo hakuna duniani anayeweza kuyaondoa. Binadamu ni kiumbe kinachoweza kutenda au kutotenda haki na haki. Binadamu asitemtendea haki mwenzake hiyo ni dhuluma na kama hakuna sheria ya kuondoa dhuluma hiyo basi aliyedhlumiwa ana mamlaka ya kufanya lolote kupata haki yake.
Neno langu la siku ya Jumatatu,huu ujumbe umekaa poa sana Mkuu
 
Ingawa mimi sipendi mtu aporwe haki,maelezo yako yamejengwa juu ya nadharia tu,hayana maelezo ya kisheria,amabayo yanatoa uhalali qa mtu kufanya atakalo,mradi tu kadhulumiwa
 
Uzi ulioshiba..Mimi kila anapongea hyo Mkurugenzi nafsi yangu inasismka sana.Uzalendo hasa katika utumishi wa Uma nimesema wa Umma wala sio wa Chama!!ni kusimamia ukweli,kwanin ni kwasabb mshahara wako ni wa kodi za wananchi wote Bila kujali uvyama; kweli hyu Jamaaa figisu zote wanazofanyiwa wapinzani amekua kimyaa utafikili maji ya mtungini.

Kwa wale waliosoma Logic mathematics.."Lissu ametumia lugha inayoiasa tume kutenda haki " kwa namna moja ameonyesha na ametimiza wajibu wa kutengeneza Amani kweny na baada ya uchaguzi.

Mtu ambae anakupa angalizo uweke mikakati mizuri ili kuuzuia madhara yasitokee unamwona kama mvunjifu wa Amani "How and why?
Lissu wamwite ila Aitwe na waandishi wawepo na mkutano uwe wa hadhara kwasabb najua atatoa elimu ya hoja kuntu ztakazotumika kama rejea kwa vizazi vijavyo ama Tume ipotezee !!
 
Hili balaa.naona mwaka tutapata vitu 3

1.Tume huru inakuja
2.katiba mpya hiyoo
3.mahakama ya kimataifa itachukua watu

Bosi kwa jinsi trend inavyoendelea tayari kuna walengwa wa hiyo namba 3 hapo juu na kilichobaki ni ushahidi tu. Kibaya zaidi Top hawamlengi vizuri
 
Tumetangaziwa kwamba Tundu Lissu ameitwa kujieleza kwa nini anasema wataingia barabarani. Suala hili linachiambuliwa kisheria namna hii..
Hongera sana tumekusoma. Na wao wamekuelewa. Sukumiani huko jukwaani akajibu hoja sio mbinu chafu ya wizi.
 
Africa.. Africa hili Bara alililoga nani sijui utaskia huu mfumo wa ukusanyaji mapato ni wa kizamani unaitia serikali hasara tuubadili twende kisasa zaidi! Sasa kituko kinakuja kwenye katiba za zama za mawe hapo hawakubali kubadili sababu zitawapunguzia ulaji hivi kuna umuhimu gani kusema matokeo ya urais hayawezi kuhojiwa na mahakama kuna nini nyuma ya pazia? Africa itaendelea kuwa nyuma sana miaka nenda rudi
 
Hili nalo litapita, Ccm hawakutegemea haya , walijua upinzani umekufa sasa wanashangaa nyomi inayoendelea kwenye mikutano ya TL, yanayoendelea hawaamini. wamebaki wameduwaa watakapo zinduka Matokea yametoka. Pole pole na Magufuri wake wamebaki kuangalia mikutano ya lissu gizani wanaogopa watu
 
Mahera ni mtaalam Wa hesabu,sio mtaalam Wa sheria,hawezi kumhoji mwamba.
Thus reasoning capacity yake iko chini Sana Kama ya boss wake.heaabu inataka claiming na sio reasoning.
Inatakiwa apigwe ban ya kuingia USA na ulaya Kama bashite maana Ni kirusi wa chanzo cha kuvuruga amani yetu, ili kuipa dunia gharama za kuhudumia wakimbizi
 
Back
Top Bottom