Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao tume siku ya kumhoji Lisu wasisahau kubeba dictionary ili wasiumbuke maana wao ndo watageuka wahojiwa. Wanaweza ambiwa nini tafsiri ya matusi wakapoteana. Dictionary muhimu tafadhali.
Jambazi lenye silaha likivamia nyumbani kwako nyumba inakuwa yake mpaka liondoke au liondolewe lakini mmiliki halali anakuwa ni wewe na ni kuomba Mungu lisikudhuru lakini hata likikuua nyumba bado itabaki kuwa ya marehemu wewe. Unachosema ni kweli lakini jambazi ni jambazi tu litaishia kama Gbagbo!Absolutely, YES...
Moyo na nafsi yangu vinanishudia hivyo pia...
Na kuongeza tu, ni kuwa, haya yataanza kwa mtu kukataa kukabidhi ofisi baada ya kushindwa...
Na hapo ndipo litakapoanza sekeseke zima...!!
Kuna kila dalili yanaweza kutokea kama ilivyotokea IVORY COAST miaka takribani 5 au 6 iliyopita; Laurent Gbagbo vs Allasane Wattarra....
Aisee Mdogo wetu una akili sana, mithili ya zile za Tundu Lissu!Una akili wewe [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Ana chaguzi mbili kwenda Chato au The HagueJambazi lenye silaha likivamia nyumbani kwako nyumba inakuwa yake mpaka liondoke au liondolewe lakini mmiliki halali anakuwa ni wewe na ni kuomba Mungu lisikudhuru lakini hata likikuua nyumba bado itabaki kuwa ya marehemu wewe. Unachosema ni kweli lakini jambazi ni jambazi tu litaishia kama Bagbo!
Pamoja na utaalam wake wa hesabu kamwe hasithubutu kuchezea hesabu za kura za Watanzania atajuta.Mahera ni mtaalam Wa hesabu,sio mtaalam Wa sheria,hawezi kumhoji mwamba.
Na hatujasahau alipigwa risasi mjini Dodoma.Waiting room...... microphone....kiti cha kukalia...maji ya kunywa...choo cha kutumia.....taulo ya chooni....mikono ya kusalimia ...... kule kwetu njombe kuna mabasi yanaitwa "nani kaona?"
Mahera huyu alieambiwa na Jerry Muro aache Mambo ya kipuuzi? . Kwa Lissu atajiharishia .Hao tume wajiangalie wasije geuzwa wao ndio wa kuhojiwa. Tena ilifaa huyu kada wa ccm mahera ndio amhoji lisu
Ccm Ni wazuri kwenye kutumia nguvu ya dola na sio hoja.Tundu Lissu mmoja ni muunganiko wa Magu majaliwa polepole bashiru na bado hawamuwezi
Hio imekula kwenu waulizeni Kama bado wapo nanyi mlibugi kuwaongozea mishahara miaka 5 mtageukwa na roho zenu Hadi msiamini.Kuwapa kuwapa vihela vidogovidogo wakubwa zao sio kuwamiliki wao.Jidanganyeni muingie barabarani tuwapiga kama mapaka mezi yaliyokwiba mboga.