greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Nyie hamna lolote mnaloweza kulifanya zaidi ya kujificha nyuma ya keyboard..mngeonesha mfano kwenye yale maandamano aliyoyaanda mange kimambi mbona mlificha mkia na kupotea kusikojulikana.Hio imekula kwenu waulizeni Kama bado wapo nanyi mlibugi kuwaongozea mishahara miaka 5 mtageukwa na roho zenu Hadi msiamini.Kuwapa kuwapa vihela vidogovidogo wakubwa zao sio kuwamiliki wao.