Uchaguzi 2020 Tume imemwita Tundu Lissu, lakini haina mamlaka wala uwezo wa kumuadhibu

Hio tume patakuwa apatoshi tunaomba ahojiwe live wapigwe maswali Hadi wapotee akahoji pia kwann wanaoenguliwa ni upinzani pekee.
 
Waiting room...... microphone....kiti cha kukalia...maji ya kunywa...choo cha kutumia.....taulo ya chooni....mikono ya kusalimia ...... kule kwetu njombe kuna mabasi yanaitwa "nani kaona?"
 
Hao tume siku ya kumhoji Lisu wasisahau kubeba dictionary ili wasiumbuke maana wao ndo watageuka wahojiwa. Wanaweza ambiwa nini tafsiri ya matusi wakapoteana. Dictionary muhimu tafadhali.
 
Tume huru ingekuwa ni jambo bora zaidi kwa maslahi ya wote
 
Hao tume siku ya kumhoji Lisu wasisahau kubeba dictionary ili wasiumbuke maana wao ndo watageuka wahojiwa. Wanaweza ambiwa nini tafsiri ya matusi wakapoteana. Dictionary muhimu tafadhali.

Dictionary zipo mahakama yoyote
 
Ongera mkuu kwa uzi wako,tume watapata ubatizo ambao hatasahau mpaka wanakua vikongwe.
 
Kama tu mahera kashindwa kuedit hio barua aliyiandikiwa na polepole ambayo aliitumia kwenye press conference ndo ataweza muhoji Lisu kweli.
 
Jambazi lenye silaha likivamia nyumbani kwako nyumba inakuwa yake mpaka liondoke au liondolewe lakini mmiliki halali anakuwa ni wewe na ni kuomba Mungu lisikudhuru lakini hata likikuua nyumba bado itabaki kuwa ya marehemu wewe. Unachosema ni kweli lakini jambazi ni jambazi tu litaishia kama Gbagbo!
 
Ana chaguzi mbili kwenda Chato au The Hague
 
Tundu Lissu mmoja ni muunganiko wa Magu majaliwa polepole bashiru na bado hawamuwezi
 
Hatutaki utawala huu wa kidharimu.... Mtu fisadi diktea anaharibu nchi yetu nzuri hatakiwi tena na watz...

Tunamtaka Tundu Lissu awe rais wetu
 
Mahera ni mtaalam Wa hesabu,sio mtaalam Wa sheria,hawezi kumhoji mwamba.
Pamoja na utaalam wake wa hesabu kamwe hasithubutu kuchezea hesabu za kura za Watanzania atajuta.

Wazanaki wenzake hawa wameshasimama wahesabiwe, wamemkataa shetani na kazi zake.
 
Waiting room...... microphone....kiti cha kukalia...maji ya kunywa...choo cha kutumia.....taulo ya chooni....mikono ya kusalimia ...... kule kwetu njombe kuna mabasi yanaitwa "nani kaona?"
Na hatujasahau alipigwa risasi mjini Dodoma.
 
Mah
Hao tume wajiangalie wasije geuzwa wao ndio wa kuhojiwa. Tena ilifaa huyu kada wa ccm mahera ndio amhoji lisu
Mahera huyu alieambiwa na Jerry Muro aache Mambo ya kipuuzi? . Kwa Lissu atajiharishia .
 
Jidanganyeni muingie barabarani tuwapiga kama mapaka mezi yaliyokwiba mboga.
 
Jidanganyeni muingie barabarani tuwapiga kama mapaka mezi yaliyokwiba mboga.
Hio imekula kwenu waulizeni Kama bado wapo nanyi mlibugi kuwaongozea mishahara miaka 5 mtageukwa na roho zenu Hadi msiamini.Kuwapa kuwapa vihela vidogovidogo wakubwa zao sio kuwamiliki wao.
 
Lisu hawezi kushinda uchaguzi wowote Tanzania. Mnajifurahisha tu. Na mtu punguani tu ndiye anaweza dhani lisu atashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…