PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
CHANDE ANASEMA TUITE MAKUNDI YA DINI ,SWALI KULIKUWA NA VITA YA KIDINI?
 
Mkuu msikubali kuingia kwenye mtego wa watu mia tano. Yes ni wengi sana, lakini wamefanya hivyo ili kutuliza jumuia za kimataifa na kuto-attract attention zaidi. Yaani vifo ni vingi kiasi ambacho idadi kamili ingewekwa hadharani Samia angefia jela. Knachotakiwa ni kudai uchunguzi huru... na siyo kukubali kuingizwa kwenye huu mtego
 
Jumuiya za kimataifa zinajua huu ni uongo.
 
Yupo ikulu mpaka 2030 Mungu akipenda endeleeni kuchanganyikiwa hakuna wa kuwasaidia.
Hitler aliitawala ujerumani kwa mabavu kama Samia kwa miaka 12 siku yake ilipofika alijuta kuzaliwa yeye na wapambe wake kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…