Nyota yangu
Senior Member
- Feb 22, 2026
- 166
- 365
Hivi hao ICC hawaoni maelfu ya watu na watoto wanaokufa kila siku huko Iran?Ewaaaaaa! Baaaamh!
Ukombozi umekaribia. No reverse imeenda hiyo.
Hii ndio habari ICC walikuwa wanasubiri.
Wamejitia kitanzi
Yajayo yanafurahisha…
Subiri majibu ya BBC CNN watakavyojibu
Hii Wanasema nzi kafia kwenye kidonda.
Wamejifunga wenyewe.
Iran wenyewe wanasemaje?Hivi hao ICC hawaoni maelfu ya watu na watoto wanaokufa kila siku huko Iran?
Nimekuuliza wewe unayefikiri ICC ni MunguIran wenyewe wanasemaje?
Kwa Mimi niliyepoteza binamu yangu siku ile naamini ICC watawawajibisha wahusika.Nimekuuliza wewe unayefikiri ICC ni Mungu
Unalinganisha musiba wako na wa jirani, kila msiba na kilio chake.Nimekuuliza wewe unayefikiri ICC ni Mungu
Kila siku watu wanauwawa bila hatia sema tu huoni, hakuna haki yoyote utapata ICCKwa Mimi niliyepoteza binamu yangu siku ile naamini ICC watawawajibisha wahusika.
Ukifiwa na mpendwa wako uje humu utueleze maumivu yake.
Ku respond to your silly question, Yes ICC ni Mungu wa waliouwawa bila hatia.
NEXT…..
Yote ni misiba tu na kufa kupo pale paleUnalinganisha musiba wako na wa jirani, kila msiba na kilio chake.
Lissu naye haponi hapa kwa kauli zake za kitanuka kasababisha raia waingie road na silaha za jadi na kuanza kuuana na polisi!!Jean Piere Bemba, alidakwa na ICC Kwa vifo 200
Huwezi kuwa mtu na nusu kama unamfanyia kazi mtu.Samuya kasema hii report ni yake kwa hiyo huyu jaji wenu alikuwa anamfasisha Rais.calm down,
jaji chade ni mtu na nusu,
porojo zote nonsense kazipiga chini
Ajabu! Leo umecoment bila kutukana Waislamu!!Nadhani hao ni wale ambao maiti zilipatikana na ndugu zao kuzipata ni ngumu tume kusema habari ya maiti zilizo potezwa na serikali..huu ni ushshidi kuwa zaidi ya watu elfu 6000 wameuliwa....dar peke yake nadhani ni watu zaidi ya 1500
Tatizo lenu ni moja...ni kushindwa kutofautisha tusi na ukweli(truth)...malaya ukimwita malaya hatasema umemtukana na mpumbavu ukimwita mpumbavu hatasema umemtukana ...Ajabu! Leo umecoment bila kutukana Waislamu!!
Umejitahidi. Ila najua tu halitozama bila kuushambulia UislamuTatizo lenu ni moja...ni kushindwa kutofautisha tusi na ukweli(truth)...malaya ukimwita malaya hatasema umemtukana na mpumbavu ukimwita mpumbavu hatasema umemtukana ...
Kwani Lissu ameshitakiwa ICC.Lissu naye haponi hapa kwa kauli zake za kitanuka kasababisha raia waingie road na silaha za jadi na kuanza kuuana na polisi!!