cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Mimi sio kada. Eeeh, shabiki mkuu wa JPM!
WEwe utakuwa na mapungufu makubwa, maana wanawake ni wapenda hakiLissu anaugulia maumivu tu huko aliko. Ha ha ha ha ha ah ha ha ha haaaaaaa
vizuri umeelewa.. basi kwa lolote.. ujue miaka mitano ijayo hata ufanyacho.. hakuna vya dezo tena.. Tanzania ni nchi nyingine kabisa... Magufuli tano tena.. mtasaga meno kama yalibaki kabla.. punguzeni hasira mjipende.. chaguo la wananchi ni Mgufuli oyeeeeeeKitambulisho cha elfu 20 kinisaidie nini mimi unadhani mimi kapuku mwenzako au mtaji wa CCM majinga ya vijijini?
Hayo majinga siku hizi yamehamia hadi mijini, yani mimtu ya ccm ni ya hovyo sana puuuu!
Hv wewe ni Mtanzania au Mburundi?acha uvivu.. wizi hakuna na badooooooooo....
Kama meno yako hayakuisha kwa kusagwa kabla bora sasa.. uwe tayari meno yaliyobaki yasagikeeeeeee maana yatakuishia tu.. ukitaka kuwahi.. kuna kitambulisho nimekwambia cha elfu 20
eti nani angepata kura za Wanachi... eeeeeh unayoandika ni unaandika kwako na wenzako
Hizo drama za chadema tu. Video hiyo haionyeshi kuwa kura hizo zilikuwa kwenye ballot box; ni begi lenye photoshops za ballot papers ili wazionyeshe kupata huruma lakini hazikuingia kwenye ballot box yoyote.Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo.
Kura za Lissu ni "volatile" zimeyeyuka12mil kwa 1mil?! Give Me A Break.
Unfortunately hiyo ni dalili kuwa upinzani ulikuwa dhaifu sana. Wapiga kuwa hujitokeza sana wanapotaka mabadiliko na iwapo mambo yanakwenda wanavyotaka, wengi huwa wanachukua mkondo wa statuds quo na huwa hwajitokezi sana kupiga kura,Ina maana zaidi ya wapigakura million 14 waliojiandikisha hawakupiga kura haya ni zaidi ya maigizo ya Tom & Jerry.
View attachment 1616179
Mtauana huu msimu maana mtakosa adui wa kumuua.Mimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimu
Tunarudi bunge la kulala usingizi enzi za wakuu wa mikoa pia wanakuwa wabunge..
Kama walivyotabiri 85% atashinda tuko vizuri.Hii iko sawa..
84.39708311%
Au
84.4%
Kama ushindi wa Liverpool mwaka jana 🤣 🤣 🤣 🤣Ushindi haujanoga huu kimepoa mno mjini
Hivi ndugu yangu bado unaimani na viongozi wa dini? nakupa ushauri wa bure tu waumini wa dini zote wana nia safi na watu wema lakini viongozi wa dini zote kwa asilimia kubwa ni watu wanaojali maslahi yao namna yakubaki juu na madaraka sio watu wema, sisemi wote ila ni asilimia kubwa sana.Ushetani huu umebarikiwa na viongozi wanafiki wa kidini, haijawahi kutokea uhuni kama huu duniani.
Let it comeTANU is back
Bagonza tu ndo msafiHivi ndugu yangu bado unaimani na viongozi wa dini? nakupa ushauri wa bure tu waumini wa dini zote wana nia safi na watu wema lakini viongozi wa dini zote kwa asilimia kubwa ni watu wanaojali maslahi yao namna yakubaki juu na madaraka sio watu wema, sisemi wote ila ni asilimia kubwa sana.