Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Kitambulisho cha elfu 20 kinisaidie nini mimi unadhani mimi kapuku mwenzako au mtaji wa CCM majinga ya vijijini?

Hayo majinga siku hizi yamehamia hadi mijini, yani mimtu ya ccm ni ya hovyo sana puuuu!
vizuri umeelewa.. basi kwa lolote.. ujue miaka mitano ijayo hata ufanyacho.. hakuna vya dezo tena.. Tanzania ni nchi nyingine kabisa... Magufuli tano tena.. mtasaga meno kama yalibaki kabla.. punguzeni hasira mjipende.. chaguo la wananchi ni Mgufuli oyeeeeee
 
acha uvivu.. wizi hakuna na badooooooooo....
Kama meno yako hayakuisha kwa kusagwa kabla bora sasa.. uwe tayari meno yaliyobaki yasagikeeeeeee maana yatakuishia tu.. ukitaka kuwahi.. kuna kitambulisho nimekwambia cha elfu 20

eti nani angepata kura za Wanachi... eeeeeh unayoandika ni unaandika kwako na wenzako
Hv wewe ni Mtanzania au Mburundi?
 
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo.
Hizo drama za chadema tu. Video hiyo haionyeshi kuwa kura hizo zilikuwa kwenye ballot box; ni begi lenye photoshops za ballot papers ili wazionyeshe kupata huruma lakini hazikuingia kwenye ballot box yoyote.
 
Hongera sana kuweni makini siku hiyo ya kuapishwa raisi mkiona mtu kashika kipaza na anafuraha sana mjue nini mimi!
 
Hata kama nilikupigia kura lakini hukurithika na kura yangu mpaka hatua za wizi zikapatikana ina maana kura yangu hainakazi we are in a slave country.
 
Ina maana zaidi ya wapigakura million 14 waliojiandikisha hawakupiga kura haya ni zaidi ya maigizo ya Tom & Jerry.
View attachment 1616179
Unfortunately hiyo ni dalili kuwa upinzani ulikuwa dhaifu sana. Wapiga kuwa hujitokeza sana wanapotaka mabadiliko na iwapo mambo yanakwenda wanavyotaka, wengi huwa wanachukua mkondo wa statuds quo na huwa hwajitokezi sana kupiga kura,
 
NEC walikua na kamsemo kao, Tunatangaza matokeo km tulivyoyapokea kutoka vituoni.
 
Mimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimu

Tunarudi bunge la kulala usingizi enzi za wakuu wa mikoa pia wanakuwa wabunge..
Mtauana huu msimu maana mtakosa adui wa kumuua.
 
Ushetani huu umebarikiwa na viongozi wanafiki wa kidini, haijawahi kutokea uhuni kama huu duniani.
Hivi ndugu yangu bado unaimani na viongozi wa dini? nakupa ushauri wa bure tu waumini wa dini zote wana nia safi na watu wema lakini viongozi wa dini zote kwa asilimia kubwa ni watu wanaojali maslahi yao namna yakubaki juu na madaraka sio watu wema, sisemi wote ila ni asilimia kubwa sana.
 
Hivi ndugu yangu bado unaimani na viongozi wa dini? nakupa ushauri wa bure tu waumini wa dini zote wana nia safi na watu wema lakini viongozi wa dini zote kwa asilimia kubwa ni watu wanaojali maslahi yao namna yakubaki juu na madaraka sio watu wema, sisemi wote ila ni asilimia kubwa sana.
Bagonza tu ndo msafi
 
Uchaguzi wa ovyo kuwahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate uhuru wake. Mnaotegemea kupata maisha kwa mgongo wa kumsifia sifia ovyo huyu mwamba mwambieni abadilike kabla rungu la muumba halijamshukia.
 
Back
Top Bottom