Mimi ni muislamu na nasema ukweli ni bora ya wenzetu ila sisi waislamu kuna chuki wao kwa wao tu uhasidi umejaa nyoyo zao ukiishi nao utawadharau ni watu wa binafsi kupita maelezo.Bagonza tu ndo msafi
Ingekua ni Lissu saivi tunatafuta page ya 45 hivi, mana wakati wa kampeni uzi ulikua unakimbia hatari pia.Uzi umepoa sana. Yaani masaa 10 page 17 tu!
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo...
It start with katiba then ije kijamii. Kizazi cha uwoga na unafki kitoke, kije kizazi chenye udhubutu na confidence.Panahitajika reform ya hali ya juu kwenye hii nchi, yani tunaishi kwenye uozo.
Huenda ukatangulia wewe kufariki kwa ukimwi, mwenzio akaendelea kudunda.Ukimaliza kubridi niambie
Na life tu hata leo.Atafariki kwa cardiac attack muda si mrefu
Hii inamaanisha hata mataga wenyewe hawana furaha ya kutosha. Nina rafiki yangu ni mjumbe wa CCM huu ushindi haujamfurahisha kabisa.Ingekua ni Lisuu saivi tunatafuta page ya 45 hivi..mana wakati wa kampeni uzi ulikua unakimbia hatari pia
Nani yuko tayari kufa kisa mabadiliko?It start with katiba then ije kijamii. Kizazi cha uwoga na unafki kitoke,kije kizazi chenye udhubutu na confidence.
Kizazi kitakachoweza kudhubutu kusimama na mamlaka bila kuogopa vyombo vya usalama.
Mataga wako wengi hawana furaha, wana unafiki wa shida ya hela ila joto kila mtu atalipata.Hii inamaanisha hata mataga wenyewe hawana furaha ya kutosha. Nina rafiki yangu ni mjumbe wa CCM huu ushindi haujamfurahisha kabisa.
Ya maeneo gani ambayo hayajasomwa!?Tume wahuni.. wameona aibu.. matokeo mengine hawaja soma[emoji1][emoji1]
We kichwani zimo kweli? Maana siyo kwa utopolo huu unaozungumza!!!Mimi nilipenda iwe 100.
Ni wakati sasa wa wabunge wetu kwenda kufutilia mbali sheria ya vyama vingi ili kuonfoa hawa vibaraka wapinga maendeleo
Hujanielewawe kichwani zimo kweli? Maana siyo kwa utopolo huu unaozungumza!!!
The opposition started with wrong footings by showing prejudice and contempt of highest order to Tanzanians machineries and Tanzanians themselves.It start with katiba then ije kijamii. Kizazi cha uwoga na unafki kitoke, kije kizazi chenye udhubutu na confidence.
Kizazi kitakachoweza kudhubutu kusimama na mamlaka bila kuogopa vyombo vya usalama.
Sawa kwa sababu wafuasi wengi wa Lissu wako mitandaoni na kwenye keyboardIngekua ni Lissu saivi tunatafuta page ya 45 hivi, mana wakati wa kampeni uzi ulikua unakimbia hatari pia.