Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Kitu pekee kizuri sasa hawana wa kumlaumu kila kitu wameshika, tutegemee barabara za lami nchi nzima, maji tuwe kama California na Ulaya hakuna visingizio tena. tumeambiwa sasa sijui kampeni zijazo watasema nani katuchelewesha hakuna visingizio.
 
Ovyo kabisa.
Magufuli kafeli Sana mwaka huu.
Alafu Cha ajabu NEC WANAKATAA WANASEMA HAKUNA KURA FEKI.
Hawa si lao moja?
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo...
 
Panahitajika reform ya hali ya juu kwenye hii nchi, yani tunaishi kwenye uozo.
It start with katiba then ije kijamii. Kizazi cha uwoga na unafki kitoke, kije kizazi chenye udhubutu na confidence.

Kizazi kitakachoweza kudhubutu kusimama na mamlaka bila kuogopa vyombo vya usalama.
 
It start with katiba then ije kijamii. Kizazi cha uwoga na unafki kitoke,kije kizazi chenye udhubutu na confidence.
Kizazi kitakachoweza kudhubutu kusimama na mamlaka bila kuogopa vyombo vya usalama.
Nani yuko tayari kufa kisa mabadiliko?

Unawajua watanzania kweli?
 
Mtaani watu hawna kabisa furaha, watu wamechoka na siasa za uongo na ulaghai za mwamba, nchi imekaa kimya utadhan tuna msiba wa kitaifa.
 
Mimi nilipenda iwe 100.

Ni wakati sasa wa wabunge wetu kwenda kufutilia mbali sheria ya vyama vingi ili kuonfoa hawa vibaraka wapinga maendeleo
We kichwani zimo kweli? Maana siyo kwa utopolo huu unaozungumza!!!
 
It start with katiba then ije kijamii. Kizazi cha uwoga na unafki kitoke, kije kizazi chenye udhubutu na confidence.

Kizazi kitakachoweza kudhubutu kusimama na mamlaka bila kuogopa vyombo vya usalama.
The opposition started with wrong footings by showing prejudice and contempt of highest order to Tanzanians machineries and Tanzanians themselves.

That is why, they( oppositions) have paid the price of such high amount! Oppositions have to learn how to treat we Tanzanias in a best and appropriate manner! You can not team up with our Tanzanians' enemies while expecting the respect from Tanzania!! You will nerver ever get such honour!
 
Back
Top Bottom