Amepata jibu leo Watanzania wanataka maendeleo. Safi sana. Hao mabubu BAK wanaotaka kusema Wacha waendelee kuwa mashoga wa wazungu.Prof. Rwekaza S. Mukandala aliwahi kusema kuwa, hajui hatima ya Magufuli na CCM Mpya itakuwaje 2020 wananchi wakiamua
Hio awamu ya sita ni ipi mkuu??[emoji849][emoji849][emoji849]Ni shangwe tupu baada ya Mgombea urais kupitia CCM Ndugu John Pombe Magufuli kutangazwa kuwa Rais Mteule wa awamu ya sita kwa kura zaidi ya milioni 12 akimuacha mbali Mgombea wa Chadema Tundu Lissu.
KONGOLE Mh Rais John Pombe Magufuli.
dah ilitakiwa iwe 98%Hii iko sawa..
84.39708311%
Au
84.4%
Nawe pia si unaugulia maumivu ya kugeuzwa??Lissu anaugulia maumivu tu huko aliko. Ha ha ha ha ha ah ha ha ha haaaaaaa
Kama jina lako linavyojielezaNi shangwe tupu baada ya Mgombea urais kupitia CCM Ndugu John Pombe Magufuli kutangazwa kuwa Rais Mteule wa awamu ya sita kwa kura zaidi ya milioni 12 akimuacha mbali Mgombea wa Chadema Tundu Lissu.
KONGOLE Mh Rais John Pombe Magufuli.
Kwa jinsi ambavyo matokeo yalikuwa yakisomwa JPM alitakiwa apate zaidi ya 98% wamemuonea au tume imemhujumu. Napendekeza hesabu kura za jpm zirudiwe kuhesabiwa.Ni shangwe tupu baada ya Mgombea urais kupitia CCM Ndugu John Pombe Magufuli kutangazwa kuwa Rais Mteule wa awamu ya sita kwa kura zaidi ya milioni 12 akimuacha mbali Mgombea wa Chadema Tundu Lissu.
KONGOLE Mh Rais John Pombe Magufuli.
Hizi % wame calibrate..alitakiwa apate 99% .NEC wameelekezwa wazipunguze ili kupunguza keleleHahahahaha wizi wa kishindo Lissu 15% ya kura na yule anayejiita MWENDAWAZIMU 85% asilimia iliyokuwa midomoni mwao wiki kadhaa kabla ya uchaguzi πππ
Hongera Mr. President, mngeweka asilimia ingependeza sana, tumcheke vizuri Tundu, ...
Yaan hao madogo kula kulala wapuuzi sana achana nao!Kwa jaji yupi ufungue kesi?Kwa katiba ipi hii ya mkoloni ?
Kama jina lako linavyojieleza
Mtaa ganiCCM wana raha sana, ila tutakutana mtaani mataga
%95 aya anza kuchekaHongera Mr. President, mngeweka asilimia ingependeza sana, tumcheke vizuri Tundu, ...