Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Yani Majaji na ma profesa wana piga mahesabu ya kura 15m mda mrefu hivyo wana umwa au ni wagonjwa
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kama hujui issues kaa kimya.. kessy na ghasia wana mambo yao..[emoji1][emoji1]
Mwenzao Aida Khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.

Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tume wahuni.. wameona aibu.. matokeo mengine hawaja soma[emoji1][emoji1]
Kwa jinsi ambavyo matokeo yalikuwa yakisomwa JPM alitakiwa apate zaidi ya 98% wamemuonea au tume imemhujumu. Napendekeza hesabu kura za jpm zirudiwe kuhesabiwa.
 
Hakimu mkazi Kisutu tafadhali, fanya uendelee na utaratibu wako! Tuliishia kwenye kuruka dhamana...
 
Asilimia ilikuwa haijatimia Mkuu hivyo walikuwa wanajazilia pale namba zilipokuwa zimegoma 😂😂👏🏽😂
Yani Majaji na ma profesa wana piga mahesabu ya kura 15m mda mrefu hivyo wana umwa au ni wagonjwa
 
Mimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimu

Tunarudi bunge la kulala usingizi enzi za wakuu wa mikoa pia wanakuwa wabunge...

Unapoongelea balance unamaanisha balance kwenye vitu gani?

Ina maana waliopita ndio walalaji bungeni? Vipi kuhusu wapinzani ambao ndio watoro.

Wana cc wengi ni aibu kivipi?

Karne ya 20 kulikua na nini?

Nyie wana ccm wengi msio na raha hamieni chadema na act muungane kuleta ushindanj
 
Mwenzao Aida Khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.

Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
Hayo maigizo yenu tunajua hilo
 
Mimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimu

Tunarudi bunge la kulala usingizi enzi za wakuu wa mikoa pia wanakuwa wabunge....

Kaa na u CCM wako...

Wananchi tumeamua.....

Magufuli oyeeeeee
💚 💛 💚 💛 💚
 
Back
Top Bottom