Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Sema Rais wako.. wetu ? Wewe na nani?
Hongera sana Rais WETU. Hongersa sana Watanzania kwa maamuzi yetu mema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana Rais WETU. Hongersa sana Watanzania kwa maamuzi yetu mema.
Watanzania wamewakataa, hata mkitafuta visingizio vinakuwa havina ladha. Na hawata ingia barabarani kumpambania Bwege aliye pata kura 1M.Hito 84% Bashiru alisha isema.. naona yalikua maagizo ya mkuu kwamba
1. Chadema wapate kiti 1
2. Ccm ipate viti vyote
3. Yeye apate 84% ili apate nafasi ya kusema Watanzania wanataka aendelee 2026.
Kipigo cha paka shume
Mbwebwe zoote zile halafu unapata kura 1,933,271 ni fedheha na aibu kubwa.
Mimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimu
Tunarudi bunge la kulala usingizi enzi za wakuu wa mikoa pia wanakuwa wabunge...
Maadam upo nchini, ni Rais wako penda usipende.Sema Rais wako.. wetu ? Wewe na nani?
CHADEMA mnakurupuka sanaaa kampeni zs Uchaguzi mkuu taangu zinaaanza tunaomba Ilani ila mlikua mnatupiga Danadana mara Ni yeye Ni yeye Ni yeeee Ni yeyeye Nyomi la Lissu Chatto Nyomi la Lissu Geita Nyomi la Lissu Kawe mambo ambayo hayana hata tija na tuliwambia humu kuwa kwa mlivyojidhatiti mwaka huu hatutarajii kusikia nimeibiwa kura....
Kura zenu za mitandaoni zimehesabika pia....Hata wasengemtangaza kusingekua na jipya....hata CCM wanaona aibu kushangilia
Hapo ni pamoja na kumjazia kura FAKE za million kadhaaaaaa
Aisee me sikupaswa kuzaliwa hapa hesabu za kura 15m me ziwe kuhesabu moja moja au tano tano nina kupa mahesabu ndani ya dakika 30 tuCc Bob Amsterdam[emoji3]
Kweli eeee!?
Mimi maoni yangu alistahili 98%Ndioooo!! , Au we unaona alistahili hizo 84% !?
CCM kuna mahali tumekosea kidogo, i wish ingekuwa 99% kabisa... Tufunge kazi, hapo hata mabeberu wangefunga midomo kabisa, anyway 84.4% sio mbaya. Wale vibaraka wa wazungu wakome, hivi akili ya kawaida tu, mzungu akupende ww mwafrika? Labda uwe huwajui wazungu vizuri, CDM wangeuza nchi hii kabisa kwa mabeberudah ilitakiwa iwe 98%
Hizo mil 12 zimepigwa na nec wenyewe.. leo nimeokota katarasi ya kupigia kura hapa sokoni.lile nyomi la Lissu wote hawajajiandikisha.
Magu tunasubiri maajabu yajayo yanafurahisha SIKUPENDI ILA LET ME SEE UTAFANYA NINI