Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Dunia imebadilika sana.. hata gwajima anamshukuru Mungu kwa kuiba kura kawe.
Kuliko kupoteza sadaka yangu kupeleka kanisani iliwe na mchungaji ni mara kumi nimewanunulia watoto wangu kuku jumapili wakala.