MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Tuluza munkari mkuu. HujanielewaUnajua maana ya vyama vingi au unaongea upupu tu hapo ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuluza munkari mkuu. HujanielewaUnajua maana ya vyama vingi au unaongea upupu tu hapo ....
Kwani tafsiri ya kupaona mahala "kituo cha polisi" ni nini?Mnafarijiana upuuzi. Jengeni chama otherwise pale bungeni mtapaona kituo cha polisi.
Wewe juha hukuona yale mabegi yanayokamatwa ya kura fake?CHADEMA mnakurupuka sanaaa kampeni zs Uchaguzi mkuu taangu zinaaanza tunaomba Ilani ila mlikua mnatupiga Danadana mara Ni yeye Ni yeye Ni yeeee Ni yeyeye Nyomi la Lissu Chatto Nyomi la Lissu Geita Nyomi la Lissu Kawe mambo ambayo hayana hata tija na tuliwambia humu kuwa kwa mlivyojidhatiti mwaka huu hatutarajii kusikia nimeibiwa kura.
Chama kinaingia kwnye Uchaguzi hakina hata Tallying Center hata moja hata kama mmeibiwa lakini hata tukisema leteni matokeo yenu nayo hata hamna mawakala wenu wana njaa sanaaa hawawezi ku concrtrate kwenye uchaguzi kama hamjampa hata ya biscuit za sh. 200
Yaani mlitaka wananchi wawachague tena halafu mje kuhamia CCM tena? Kwa kipigo hiki naona imekua Fundisho kwa vibaraka wote wa mabeberu ni Kipigo cha mbwa koko!
Kwa hiyo mimi sio Mtanzania?Umpende, Umpende haikusaidii kitu. Watanzania wamechagua maendeleo, sio ushabiki au huruma za chama.
Mtaa gani tuungane kwenye shangweWatu wamelipuka kwa shangwe huku mtaani kwetu balaaaaaaaa
Arusha itakuwa, SAN FRANCISCO, CALIFORNIASawa tunasubiri Tanzania kuwa kama Ulaya
Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.
NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine watakuwa wameyatupa hawajayahesabu.
Kitambulisho cha elfu 20 kinisaidie nini mimi unadhani mimi kapuku mwenzako au mtaji wa CCM majinga ya vijijini?acha uvivu.. wizi hakuna na badooooooooo....
Kama meno yako hayakuisha kwa kusagwa kabla bora sasa.. uwe tayari meno yaliyobaki yasagikeeeeeee maana yatakuishia tu.. ukitaka kuwahi.. kuna kitambulisho nimekwambia cha elfu 20
eti nani angepata kura za Wanachi... eeeeeh unayoandika ni unaandika kwako na wenzako
Kura fake nchi nzima?. Allegations za kipuuzi kabisa, kwa style yenu msipobadilika sahauni hata uenyekiti wa serikali za mitaa. Watanzania Wanatafuta connection, hawapo tayari kuchanganya magunzi na betri.Mkuu nikuulize kitu. Hivi zile kura fake hukuziona? Na kama uliziona kwa nini unaandika ujinga? Kama hukuziona basi wewe ni taahira.
Connection ya kitahira labda.Kura fake nchi nzima?. Allegations za kipuuzi kabisa, kwa style yenu msipobadilika sahauni hata uenyekiti wa serikali za mitaa. Watanzania Wanatafuta connection, hawapo tayari kuchanganya magunzi na betri.
Hiyo ya uenyekiti wa serikali wa mtaa si tayari hawana? Sasa hivi CCM itatungoza kuanzia kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa na wajumbe wake, wenyeviti wa halmashauri, spika na wabunge wake, Rais na Baraza lake la mawaziri. Ni kweli kama ulivyosema wananchi wamechagua betri.Kura fake nchi nzima?. Allegations za kipuuzi kabisa, kwa style yenu msipobadilika sahauni hata uenyekiti wa serikali za mitaa. Watanzania Wanatafuta connection, hawapo tayari kuchanganya magunzi na betri.
Sababu haziwakosi?Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.
NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine watakuwa wameyatupa hawajayahesabu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.
NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine watakuwa wameyatupa hawajayahesabu.