Kwa jinsi ambavyo matokeo yalikuwa yakisomwa JPM alitakiwa apate zaidi ya 98% wamemuonea au tume imemhujumu. Napendekeza hesabu kura za jpm zirudiwe kuhesabiwa.
lile nyomi la Lissu wote hawajajiandikisha.Kura zilizo pigwa hazija hesabiwa.. hizo namba ni maagizo tuu..
Sitetemeki hata kdg, Ila US inajifanya kiherehe sana kutukosoa! Nawapa taarifa tu, Watulie na wakubaliane na uamuzi wa wananchi.
Mwenzao Aida Khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.
Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
Bila wizi alikua anakula mweleka..
Kuliko kupoteza sadaka yangu kupeleka kanisani iliwe na mchungaji ni mara kumi nimewanunulia watoto wangu kuku jumapili wakala.Utasikia wachungaji wanatwambai tumshukuru Mungu kwa uchaguzi mzuri..[emoji1][emoji1]
dah ilitakiwa iwe 98%
Yani mahesabu ya kura 15 ma profesa wana piga mda mrefu hivyo kwa maana hiyo mahesabu ya kurusha rocket yata chukua miaka 100Kwi kwi kwi kwi asilimia 98 ya wizi wa kishindo.
Kwa jinsi ambavyo matokeo yalikuwa yakisomwa JPM alitakiwa apate zaidi ya 98% wamemuonea au tume imemhujumu. Napendekeza hesabu kura za jpm zirudiwe kuhesabiwa.
Ghafla nimemkumbuka Mobutu Sesseseko Kukubendu Wazanga
Yani Majaji na ma profesa wana piga mahesabu ya kura 15m mda mrefu hivyo wana umwa au ni wagonjwa
Mimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimu
Tunarudi bunge la kulala usingizi enzi za wakuu wa mikoa pia wanakuwa wabunge...
Hayo maigizo yenu tunajua hiloMwenzao Aida Khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.
Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
Hizi % wame calibrate..alitakiwa apate 99% .NEC wameelekezwa wazipunguze ili kupunguza kelele
Mimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimu
Tunarudi bunge la kulala usingizi enzi za wakuu wa mikoa pia wanakuwa wabunge....