Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui yeye na Mama J nao wapo wanatumia VPN - free basic?🤣Kesho mapema.
Hii iko sawa..Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28....
Hamwingiii barabaranii kudai hakiiMWAMBIENU SASA AFUNGULIE INTERNET SI AMESHASHINDA. MAANA TUNATESANA BURE SASA. WACHENI MAISHA YAENDELEE
Unatetemeka nini sasa!.Imeisha hiyooo!! Uamuzi wa watanzania uheshimiwe, uchaguzi ulikuwa huru na was amani, Hii ni nchi huru, hatutaki kuingiliwa na nchi za magharibi.
Pole kwa maisha uliyo ya chaguaLissu anaugulia maumivu tu huko aliko. Ha ha ha ha ha ah ha ha ha haaaaaaa
Anajua ku download basi?!Sijui yeye na Mama J nao wapo wanatumia VPN - free basic?[emoji1787]
Mbona wanandamana tayr nyuma ya keyboard tangu juziHamwingiii barabaranii kudai hakii