Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwahiyo wewe uko karibu na waangalizi wa kimataifa kuliko BBC?!!
Yaani nione uhayawani kwenye box la Kura kwa macho yangu, kisha ningoje maelezo ya mwangalizi wa kimataifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe uko karibu na waangalizi wa kimataifa kuliko BBC?!!
Wala usiseme bwashee. Unaiba kura halafu unatumia ubabe kwa kutisha wakurugenzi halafu ujidai umeshinda kwa kishindo!Historia ya Tanzania ya kijani
Sina uwezo wa kujuwa na uhakikavwq Maenro mengine ya Tanzania, lakini kwa Kilimanjaro huu ni uamuzi wa Jamii ya Kilimanjaro. Yeyote ambae anatakiwa maelezo tofauti na hata kwa Kilimanjaro ni muono. Muda huu Mbele inanyweka na vinyls jirani binging,Ushindi mkubwa au udanganyifu wa kitoto wa kiwango cha chato??
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Duh! Wewe ni mtanzania au ni google translator?Sina uwezo wa kujuwa na uhakikavwq Maenro mengine ya Tanzania, lakini kwa Kilimanjaro huu ni uamuzi wa Jamii ya Kilimanjaro. Yeyote ambae anatakiwa maelezo tofauti na hata kwa Kilimanjaro ni muono. Muda huu Mbele inanyweka na vinyls jirani binging,
Kama kuna maelezo kinyume na haya watuarifu. Kilimanjaro haieyendeshwi ama na upinzani sio au ccm.
Suala ni maslahi ya Kilimanjaro ndio hizo kura mnazoziona. Tungeibiwa tunge lalamika sana mitandao isingetosha, tafutane wajinga na ulalamishi maeneo mengine ya nchi yetu.
Wewe mama una kiherehere kama nywele zinazotakakuota kila sehemu lakini haya X-Mass njemaSaitakuaje
Si ndio rais🤔
Na sisi we lavu Joni, anafanya kazi vizuri, Joni is humble.....sisi hao wengine hatujawazoea. Joni is our chosen one😍🇹🇿🔥🔥
View attachment 1659122
Mabeberu Tena!Sasa unabishana na waangalizi wa kimataifa?
Yes honey... it's mineMy uss
Hakuna alichoshinda. Uchaguzi ni uchafuzi . Wabunge wake pia akae nao chamwino/magogoni, huku majimboni hatutaki kuwaona. Hatukuwachagua. Wanamwakilisha nani?Katika mambo makubwa yaliyotokea mwaka 2020 ni pamoja na Rais Magufuli kupata ushindi wa kihistoria wa zaidi ya 84%
Mambo mengine ni Joe Biden kumgaragaza Trump huko Marekani
Pia janga la Corona lililoiyumbisha dunia.
Source BBC Dira ya Dunia.
Merry Christmas!
Aibu kubwa.Katika mambo makubwa yaliyotokea mwaka 2020 ni pamoja na Rais Magufuli kupata ushindi wa kihistoria wa zaidi ya 84%
Mambo mengine ni Joe Biden kumgaragaza Trump huko Marekani
Pia janga la Corona lililoiyumbisha dunia.
Source BBC Dira ya Dunia.
Merry Christmas!
Uchaguzi umekwisha, katiba inasema uchaguzi mwingine ni baada ya miaka mitano yaani 2025!Ushindi mkubwa au udanganyifu wa kitoto wa kiwango cha chato??
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Uchaguzi wa 2020 mungu ndo ajua,ipo siku mungu ataoneshesha uwezo wake,ujumbe mahalum elekea 2021, mungu anawataka WOTE wakatubu,vinginevyo vilio lahana vitatawala kuu yao ,mmoja Bahada ya mwingine, sio ujumbe wangu bali asema bwana,elekea 2021 ,so hutaki acha,full stop
Hakuna alichoshinda. Uchaguzi ni uchafuzi . Wabunge wake pia akae nao chamwino/magogoni, huku majimboni hatutaki kuwaona. Hatukuwachagua. Wanamwakilisha nani?