Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Ushindi mkubwa au udanganyifu wa kitoto wa kiwango cha chato??

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Sina uwezo wa kujuwa na uhakikavwq Maenro mengine ya Tanzania, lakini kwa Kilimanjaro huu ni uamuzi wa Jamii ya Kilimanjaro. Yeyote ambae anatakiwa maelezo tofauti na hata kwa Kilimanjaro ni muono. Muda huu Mbele inanyweka na vinyls jirani binging,

Kama kuna maelezo kinyume na haya watuarifu. Kilimanjaro haieyendeshwi ama na upinzani sio au ccm.

Suala ni maslahi ya Kilimanjaro ndio hizo kura mnazoziona. Tungeibiwa tunge lalamika sana mitandao isingetosha, tafutane wajinga na ulalamishi maeneo mengine ya nchi yetu.
 
Duh! Wewe ni mtanzania au ni google translator?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu haamini aliambulia kura milioni moja na laki tisa, yaani kamzidi kidogo tu mbowe uchaguzi wa 2005 aliyepata kura laki sita.
 
Katika mambo makubwa yaliyotokea mwaka 2020 ni pamoja na Rais Magufuli kupata ushindi wa kihistoria wa zaidi ya 84%

Mambo mengine ni Joe Biden kumgaragaza Trump huko Marekani

Pia janga la Corona lililoiyumbisha dunia.

Source BBC Dira ya Dunia.

Merry Christmas!
Hakuna alichoshinda. Uchaguzi ni uchafuzi . Wabunge wake pia akae nao chamwino/magogoni, huku majimboni hatutaki kuwaona. Hatukuwachagua. Wanamwakilisha nani?
 
Aibu kubwa.
 
Hongera rais wetu kwa ushindi wa tsunami!! I hope you are happy to have a green Bunge and government as you wished! We look forward to great things from 2021 to 2025 and you will honour the katiba and let another come in in October 2025!!! Tanzania yetu ni nchi ya amani ila let us improve haki na uhuru wa mawazo otherwise we shall be a dead country in the near future! Other people also need to be happy not just the leaders and just one party! Make each other happy please!!
 
Uchaguzi wa 2020 mungu ndo ajua,ipo siku mungu ataoneshesha uwezo wake,ujumbe mahalum elekea 2021, mungu anawataka WOTE wakatubu,vinginevyo vilio lahana vitatawala kuu yao ,mmoja Bahada ya mwingine, sio ujumbe wangu bali asema bwana,elekea 2021 ,so hutaki acha,full stop

Mungu hajawahi kuwa 4 7mbatizaji na hatakaa awe!
 
Hakuna alichoshinda. Uchaguzi ni uchafuzi . Wabunge wake pia akae nao chamwino/magogoni, huku majimboni hatutaki kuwaona. Hatukuwachagua. Wanamwakilisha nani?

Watu aina ya Trump tunao wengi sana. Hata kama angeshuka Yesu na malaika kusimamia uchaguzi mkuu, bado hao watu wangelalamika kuwa wamedhulumiwa ushindi wao!
 
Nilikuwa napitia pitia matokeo ya chaguzi za Rais nikavutiwa kwa namna graph ya Chadema ilivyokuwa inapanda.

Chadema ilianza kushiriki rasmi uchaguzi wa Rais mwaka 2005 ambapo Mbowe aligombea na kupata 5.8% ya kura zote.

Dr Slaa aligombea 2010 na kukipaisha chama kwa kupata 26%

2015 aligombea mzee Lowassa na kuing'arisha Chadema kwa 39.9%

Na 2020 amegombea Tundu Lisu na kuishusha Chadema hadi 13%

Au nasema uwongo ndugu zangu?

Kazi Iendelee!
 
Back
Top Bottom