Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Kwa tume hii hii iliyosifiwa na dicteta kuwa inatenda haki usilitegemee hilo mkuu, kwa kura za wananchi atapita kwa kura nyingi sana, bt kwa mfumo uliopo sasa mbunge ni kitilya
Wewe jidanganye hivyo hivyo tu........

The world is watching very closely, Tanzania Politics, before October General Elections
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
Kuna mambo huwa yananichanga sana yaani sanaa

Kila uchaguzi kuna chama cha Kijani kinadai kinatuletea Tanzania Mpya.

Nafikiri huwa wanamaanisha upya wa matatizo, ujinga na umaskini.

Fikiria kwa miaka 55+ sasa - wanasema tusichague wengine kwa kuwa wataondoa amani lakini wakati chini ya utawala wao wa kiimla tuna WASIOJULIKANA,VIROBA FUKWENI, Disapperance of Azory , kutapeliwa korosho zetu, Kuvunjwa haki za binadamu na sheria mbaya za ovyo ovyo
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
Politics isn’t the normal way you do calculations, ina fomula zake, vinginevyo marais wote na mabunge yote yangejaa ma professa.

Muulize Tuntemeke Sanga wa degree 7 aliishia wapi au mfano live Mwakyembe wa degree 4 ameishia wapi.
 
Kama tume imejiridhisha kwamba wasimaizi (wakurugenzi/watendaji kata) waliwaondoa wagombea kimakosa, je watachukuliwa hatua?
 
NEC rudisheni wagombea wote wapimane ubavu. Mambo ya kumbeba beba Magufuli na CCM yake Iliojifia wakati anajitia mjuaji, si HAKI hata kidogo, mngemuacha tu apambane na CCM yake.
 
Kitila ajiandae kwenda chekechea kushika chaki, maana pale kitivo hawezi pata nafasi tena!

Atashinda kwa sababu CDM na ACT Wazalendo watagawana kura. Na kwa jinsi wanavyochukiana watatumia muda mrefu kushambuliana badala ya kumshambulia Kitila.

Amandla...
 
Mhe. Jaji Kaijage wewe ni mtu wa Mungu. Tenda wema na usikubali kuburuzwa. Tunamuomba Mungu akutangulie katika majukumu yako.
 
Yule mama Mkurugenzi kaaibika vibaya sana.

Boniface Jacob amepitia mengi kama diwani, meya na mwanasiasa kindakindaki na hili itoshe kusema tayari ni mbunge mtarajiwa

15 October 2020
Siasa za jiji la Dar es Salaam
 
Jitayarisheni na sababu mtakazozitoa, kwani huyu taniboy wenu Boni, atagaragazwa na kushindwa vibaya sana. Tnategemea kusikia Kura zimeibiwa nk...
Jimbo la Ubungo ni gumu sana kuiba hata wenyewe wanajua ndio maana walitaka Kitila asiwe na mpinzani.
 
Jitayarisheni na sababu mtakazozitoa, kwani huyu taniboy wenu Boni, atagaragazwa na kushindwa vibaya sana. Tnategemea kusikia Kura zimeibiwa nk...
humjui Bonny , huijui Ubungo , nakuhurumia sana !
 
Pamoja na yote mkumbuke hadi sasa CCM ina wabunge 20 walioita bila kupingwa!
 
Back
Top Bottom