barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mimi nina uwezo wa ku-pollinate ktk yai la mama yako, dada yako au shangazi yako na kukuletea mdogo wako, nice/nephew wako au cousin wako kupitia vipenyo vya chini vya hao nduguzo niliowataja hapo juu, nadhani umeijua jinsia yangu!Una mahaba sana na ccm... kama wewe ni Ke, mumeo anafaidi sana....
nazihurumia sana nchi mbili Tanzania na Uganda , Eee baba Mungu usiwatupe watu wako .Kufuatia uchaguzi uliofanyika jana nchini uganda, mawaziri 17 wa serikali ya raisi museveni tayari wameshabwagwa huku matokeo yakiwa bado yanaendelea kutolewa,pamoja na mizengwe yoote anayofanyiwa mpinzani mkubwa kizza besigye kukamatwa na kuwekwa ndani mara kwa mara ktk kipindi hiki cha uchaguzi, hongera sana wananchi wa uganda kwa kufanya maamuzi
Kufuatia uchaguzi uliofanyika jana nchini Uganda, mawaziri 17 wa serikali ya Rais Museveni tayari wameshabwagwa huku matokeo yakiwa bado yanaendelea kutolewa, pamoja na mizengwe yoote anayofanyiwa mpinzani mkubwa Kizza Besigye kukamatwa na kuwekwa ndani mara kwa mara katika kipindi hiki cha uchaguzi, hongera sana wananchi wa Uganda kwa kufanya maamuzi.
Mkuu ni bora tukawa chini ya mkoloni kuliko kutawaliwa na hawa kina nkurunzinzaNampongeza sana Besigye.
Mseveni ataondoka kwa aibu kuu.
Labda Trump asiwe rais wa Marekani which is not likely!
Uchafu huo unasababishwa na watawala ambao wanajiona miungu watu,lkn hiyo yoote ni uoga wa kudhani kuwa serikali ikitawaliwa na chama kingine watagundua maovu yao waliyokuwa wanayatenda,ipo sikuBado Afrika tulipaswa kuendelea na denokrasia ya mfumo ya chama kimoja...kama China. Haya mambo ya vyama vingi ni uchafu...
Huo ndio utamaduni wa viongozi wengi wa afrikaMuseveni akishinda kalazimisha anatoa maneno ya vitisho na yeye kageuka ndio tume...
Ni nusu ya mawaziri wa serikali ya museveni hadi sasa na matokeo bado yanaendelea kutolewaUganda ilikuwa na mawaziri wangapi ili tuone ni kwa kiasi gani kuna anguko kubwa.
Mtu kama huyo unategemea amwambie kitu gani nkurunzinza?Mkuu M7 hatari! 86 ndo nilianza form 1 jamaa hadi leo ng'ang'ana tu madarakani!
Matusi ndio utamaduni wa viwavi wa lumumba, endelea kutukana tuMimi nina uwezo wa ku-pollinate ktk yai la mama yako, dada yako au shangazi yako na kukuletea mdogo wako, nice/nephew wako au cousin wako kupitia vipenyo vya chini vya hao nduguzo niliowataja hapo juu, nadhani umeijua jinsia yangu!
Hiyo ndio hali halisi na ndiyo maana hadi sasa wamezingira office yaoUkweli ni kuwa Kiza kashinda uchaguzi.Ila demokrasia ya kijeshi ndio inaendelea kumkumbatia mseveni.
africa inastahili kutawaliwa tena na wakoloni , hili jambo lifanyike haraka sana .Ukweli ni kuwa Kiza kashinda uchaguzi.Ila demokrasia ya kijeshi ndio inaendelea kumkumbatia mseveni.
askari wa kiafrika wanatumika hovyo sana !Hiyo ndio hali halisi na ndiyo maana hadi sasa wamezingira office yao
Vipi Obama, Cameron, Hollande, Angela Merkel, HUTAKI WATOKE NAO?Huna ulicho kiandika zaidi ya kuweweseka
Bado naushangaa uwezo wako wa kujenga hojaVipi Obama, Cameron, Hollande, Angela Merkel, HUTAKI WATOKE NAO?
Ndio wanatekeleza na kuendeleza utawala wa mkono wa chumaaskari wa kiafrika wanatumika hovyo sana !
mkuu angalia uwezekano wa kupata mawasiliano ya katibu mkuu au viongozi wengine wa chama cha kiiza , maana nimejaribu kumpigia mwenyewe simu yake imezimwa , nadhani ni kwa vile jana alikamatwa na polisi , nataka niwape neno la pongezi .Ni nusu ya mawaziri wa serikali ya museveni hadi sasa na matokeo bado yanaendelea kutolewa
Mkuu M7 hatari! 86 ndo nilianza form 1 jamaa hadi leo ng'ang'ana tu madarakani!