Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Safi sana! Ningekasirika sana kama NEC ingemkata huyu mtu!

Huyu tutamfundisha sisi wanachi hapo oktoba 28 kwamba hii nchi haiendeshwi kwa shinikizo za amsterdam

Hutaamini macho yako. Ndio utajua watanzania kukaa kimya ni kuhofia usalama wao, lakini moyoni wana vitu vizito.
 
Kwa waliopo Dodoma wawasake Lipumba na shibuda wawachane live maana wamekula pesa za CCM kwa lengo la kuwahujumu chadema kwa njia haramu
 
I'm the only candidate who toured the country, met with actual voters and got their endorsement in person. All other candidates obtained their nominators from NEC registers without having to meet actual voters. Yet I'm the only candidate whose nomination is still under a cloud! - LISSU
 
Kwa hiyo kuna uwezekano Lissu anaweza kumuwekea pingamizi Magufuli siku ya kesho.

Hali hiyo itamlazimisha Magufuli arudi ofisi za Tume kujibu madai ya Lissu na hilo litawakutanisha mahasimu hao uso kwa uso. Juhudi za ziada zilitumika kuepusha hilo kwenye mazishi ya Mkapa, sioni kwenye hili kama wataweza kuzuia.

Hii inanikumbusha Ali vs. Foreman.

Uchaguzi huu utakumbukwa kwa vizazi vingi. Natumaini vurugu zikome tupambane kwa hoja na mbinu za amani za kisiasa.
 
Endelea kuwadanganya wapuuzi wenzie
Mwambie huyo boya Serikali hii haina uonevu kwa walemavu, wacha aje kwenye kampeni aone wananchi watakavyomshangaa huyu mwakilishi wa mabeberu anayetaka wanaume waoane sijui ataanza kuolewa yeye!!?
 
Well
 
Nakwambiaje mkuu, huyo hafui dafu, whatever lilomtokea, hawezi kupata kura majority, trust me. Utake usitake

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
25 Agosti 2020

Tundu Lissu afafanua saa 24 zijazo
Azungumza na kujibu dukuku za waandishi wa habari
 
Nawasifu sana kwa uamuzi wa busara,Lissu anatafuta sababu tu, waendelee tu kumvumilia ,kwa sababu anakiuka taratibu za wazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…