Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

*Nitamchagua Dkt. Mwinyi si Kibabu Maalim Seif*

Leo kipenzi cha Wazanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ameingia kwenye Historia mpya ya kwenda
kuwatumikia Wazanzibar wenzake kwa kuchukua fomu ndani ya Makao Makuu ya Tume ya Taifa
NEC.

Nawaambia mamilioni ya Wazanzibar juu ya uwezo wa mgombea huyu kijana na si kumpigia kura
mgombea Kibabu anayepokea mafao yake ya kustaafu, tena anaitwa Mzee king'ang'anzi kama *Kupe aliyemganda Mbwa mchafu.*

Dkt Mwinyi anasababu zaiidi ya Milioni za kuchaguliwa na Wazanzibar, Mwinyi ni kijana mwenye nguvu na ari ya kuitumikia Zanzibar lakini si Sultan Maalim Seif ambaye amekata kauli Dubai.

Dkt Mwinyi si King'ang'anizi ndiyo maana aliacha Ubunge wa Mkuranga na kwenda kugombea Kwahani Zanzibar na akashinda, lakini Maalim Seif ni kibabu king'ang'anzi kinachogombea nafasi moja tu tangu sijazaliwa na hajawahi kushinda.

Dkt. Mwinyi ni mzalendo wa Zanzibar, ukimsikiliza tangu alioopomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais, Dkt. Mwinyi sera yake ni moja ni kuhusu maendeleo ya Zanzibar na namna atakavyoshirikiana na Rais wa Tanzania kupeleka maendeleo Zanzibar, lakini Kibabu Maalim Seif sera yake kubwa ni kuiuza Zanzibar kwa maswahiba wake wa Dubai ambao sasa wanamtibia bure.
 
Unamaanisha ZEC?

Kuacha jimbo lililoko Tanzania Bara na kwenda kugombea kwenye jimbo lililoko Zanzibar ulikuwa uamuzi wa kimkakati. Nadhani umekiona ambacho amekuja kufanya 2020!
 
Angeweza kumkata tu Tundu Lisu kwa sababu yoyote ile kwa sababu katiba ya nchi imempa uwezo huo.

Lakini Jaji Kaijage kwa kuipenda amani ya nchi yake hakutaka kuwa kama Pontio Pilato bali amempitisha Lisu ili wananchi wenyewe wakamuhukumu kwa haki kwenye sanduku la kura.

Mungu mbariki Jaji Kaijage kwa kuienzi amani yetu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom