Unajichekesha nini mtoto Wa kiume mbele za kadamnasi? Tukueleweje? Halafu ungejibu hoja yako politely tu.Kwani Tume wajibuje? Hahahaha chadema bhana hahaha hata Membe alihakikiwa kule kule majimboni wadhamini wake kwanini Lissu hakunuwekea pingamizi? Lissu amesoma sheria bila kusoma kanuni hahaha
Na picha je? HahahaView attachment 1549300
Tafsiri ya tume huru au unaimba tu kama kalumanziraNdio maana ccm hawataki tume huru wenyewe wanataka tumeccm
Sijui kwa sababu hakuna ushahidi wa kuwa kuna wagombea wa CCM wamepita bila kupingwa. Jana tume ya uchaguzi ilitahadharisha kuwa hakuna mgombea yeyote aliyekwisha pita bila kupingwa. Hata hivyo ikionekana wana CHADEMA wamazikosea sheria na kanuni hizo, basi sheria itachukua mkondo wakeHizo sheria hazifanyi kazi wanaccm wanapopita bila kupingwa?
Hizi sheria na kanuni haya majamaa huwa yanatunga kwa ajili yetu sie kina kajamba nani tu,zikiwarudia wanarukaruka kama mahindi ya bisi.Mbona Magufuli hajaenda kuyajibu? Hakutakiwa kuwasilisha utetezi, bali afike ofisini.
Ikibidi tume ya uchaguzi ilipize kisasi kwa kumpingamiza mr lisu ilu liwe fundisho kwa wagombea wengine siku za mbele wasijaribu kutingisha kiberiti,maana kiberiti kiko full.Lissu katetemesha viumbe
Kifungu cha 32(1)(b)(c) cha cap 343Sheria na kanuni za uchaguzi zinazosimamia uteuzi wa wagombea na mapingamizi dhidi yao ni hizi hapa: Uchaguzi 2020 - Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali. Ni kifungu gani kilichokiukwa kama Lissu hakutaka kufurahisha wafuasi wake tu ambao anajua hawasomi sheria zenyewe bali kukubali kila anachowaambia?
Jiwe kavushwa, acha kupotoshaMagufuli kavuka kizingiti kingine hiki cha pingamizi, ahsante Mungu kwa utukufu wako.
Muda ushapitaIkibidi tume ya uchaguzi ilipize kisasi kwa kumpingamiza mr lisu ilu liwe fundisho kwa wagombea wengine siku za mbele wasijaribu kutingisha kiberiti,maana kiberiti kiko full.
Hatuwezi kutumia akili za kichaa kuongoza nchi, huyo huyo kasema tume inaweza kuwapa mamlaka wasimamizi, bado tena anasema sio harali,
Pili kuhusu picha
Naomba unipe tafasiri ya
pasport size?
full size na?
half size?
Medium size?
Big size
Je maana yake ni lazima uangalie mbele au ni kipimo cha ukubwa wa picha?
Kuhusu kuangalia mbele ni masharti ya taasisi au hitaji husika na sio kiwango cha ukubwa wa picha. Na ndo maana tunasema tundu ni kichaa ila bado mnamshangilia tu. Alisema magufuli katoa rushwa ya laki moja bado mkashangilia. Nyie ni mazuzu tu.
Ukitaka kujua tundu anamuogopa magufuri, toka jana usiku anatafuta makosa ya magufuli tu siku nzima na nadhani hajalala.
Ongeza ongeza maarifa kichwani, ushindi umepatikana na unapatikana kwa awamu, mfano form tumepeleka NEC wamekagua mpaka usiku, na hazikupelekwa majimboni, mpaka hapo sheria imeonekana kutokuwa sawa, Magufuli kajifunza wapi anatakiwa kukabidhi form zikaguliwe na wewe pia umejifunza. Ushindi ni pamoja na kuelimisha wapuuzi kama wewe.Pigo jengine kwa Wana Sacco's,kila wanachofanya wanashindwa, Chadema ni losers [emoji23][emoji1787]
Wao TUME ndio final and conclusive mkuu!!Lissu atakata rufaa. NEC mtajibeba mwaka huu.
Fomu za Rais hazipaswi kuhakikiwa na wasimamizi wa uchaguzi wa majimboMkuu Lisu hapa kaonesha umbumbumbu!
Unaposema form zimehakikiwa na wasimamizi wa uchaguzi majimboni hao ndio NEC yenyewe ndio maana hata matokeo ya uchguzi yanaanza kutolewa huko.
Alipocheleweshwa pale kwenye tume ile juzi tume walitoa maelezo kwamba waliopitisha form zao huko majimboni hajakaa sababu tume haikupata shida ya kuanza kukagua maelfu ya hao wadhamini.
Kwahiyo wote tangu kina Membe ni wajinga ila yeye Lisu tu ndio alikuwa na akili?
Kifungu cha 32(1)(b)(c) cha cap 343
Kifungu Cha 38(4)(B), kanuni ya 37(4)(a) inataka picha nne za passport za rangi.
Kifungu 38(5) cap 343
Ama unazisoma sheria hizo vibaya, au untaka ziwe na maana unayotaka wewe. Kama wewe ni mwanasheria, basi inawezekana taaluma ya sheria Tanzania nayo inaanza kwende ICU. Ndiyo maana mwanasheria msomi Lissu anaongea mambo kama haya.Fomu za Rais hazipaswi kuhakikiwa na wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo
Maelekezo ya tume yanakinzana na sheria ya uchaguzi cap343 kifungu cha 126 hivyo hayapaswi kukinzana na sheria, na kikawaida subsidiary legislation haitakiwi kukinzana na Act na ikitokea mkanganyiko Sheria ya bunge ina prevail hivyo maelekezo ya tume hayana nguvu tena
Sheria ya uchaguzi Sura 343 kifungu cha 32(1)(b)(c) kinamtaka mgombea Urais kupeleka fomu za uteuzi tume (NEC).
Hivyo maelekezo yaliyo kwenye sheria ndiyo yakufuata.
Nenda specifically wapi au kifungu kipiAma unazisoma sheria hizo vibaya, au untaka ziwe na maana unayotaka wewe.