Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] Nakazia.
 
Nawashauri Tume ya Uchaguzi wazungumze na Lissu na wahusiane naye kwa heshima, wakitaka kuendesha Uchaguzi kama Ndugai alivoendesha Bunge ama kama Magufuli anavoendesha Serikali bila kuzingatia Sheria za nchi watapata tabu sana..

Itafika siku ya Uchaguzi Tume wako hoi kwa sababu wataelezewa kuwa hawana Uadilifu wa kutosha kusimamia Uchaguzi, na Mgombea wa Tume pia ataelezewa kuwa Hana Uhalali wa Kisheria kushiriki Uchaguzi...

Yan kwenye Uchaguzi huu Mgombea wa Tume atakuwa kama Mwanafunzi anayehudhuria Lectures Chuo lakini Hana admission, au Basi ana admission lkn hajakamilisha Usajili...so anapoteza muda tu.

Hata akishinda Ushindi wake utapingwa mahakamani kuwa Hakuwa na Uhalali Kisheria kushiriki Uchaguzi, So ni Mgombea Fake.

Kufika Tarehe ya Uchaguzi Tume will be battered na Mgombea wa Tume atakuwa Rais dhaifu mno kiuhalali wa Mamlaka ya cheo chake Ikitokea akatangazwa kwa Lazima kuwa kashinda Urais, atakuwa kama Dr.Shwein katika Awamu yake ya 2.
 
Huyo ndio Lissu kama Lissu
 
Ndio maana ccm hawataki tume huru wenyewe wanataka tumeccm
Aende dalasani akafundishe sheria na sio kufundisha barabarani.
 
Nakupinga kwa sababu Lissu alikuwa na ushahidi kwa 100% as kama unavyojua kesi za Uchaguzi zinapaswa kuthibitishwa pasipo shaka hatutumii ile ya kwenye madai ya balance of probabablities
Kuhusu passport Lissu yeye alikuwa anatoa tafsiri ya picha ya passport kwamba mtu akionekana upande mmoja na sio macho na masikio ikitokea kapiga upande mmoja hiyo siyo passport size, ndiyo maana akasema Fomu za uteuzi hazijaambatanishwa na picha kwenye fomu za uteuzi, section 38(5) of cap 343 fomu hazijaambatanishwa na nyaraka zilizotajwa kwenye section 38(4)(B) cap 343 ambazo ni idadi ya picha 4 za Rangi za Passport as read in tandem with regulation 37(4)(a) of kanuni za uchaguzi wa wabunge na rais

Unataka tuende kwenye sheria nyingine ya tafsiri Cap 1?
Halafu tuende kwenye Rules of statutory interpretation?
 
Unataka ufafanuzi kama nani?
 
KUNA WANAODHANI KUWA RAISI ALIYEMADARAKANI HAWEZI WEKEWA PINGAMIZI,
LAZIMA TUPIME UADILIFU WA TUME
 
Picha za hivi mod wanazipenda kweli


Your browser is not able to display this video.
 
Mjinga, usilazimishe na kimwanasheria chenu uchwara, mapingamizi ya kitoto ilimradi kuleta attention kwa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…