Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
mtaropoka kila neno safari hii kudadeki !Ushoga na usagaji havikubaliki Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtaropoka kila neno safari hii kudadeki !Ushoga na usagaji havikubaliki Tanzania
Lissu ana hoja gani kwa mfano?? Lissu anayejiita Wakili msomi ambae inatakiwa awe mfano kwa kuheshimu mahakama sehemu ambayo ni kama ofisi yake sehemu ambayo sheria zinapata tafsiri yeye ndo amekuwa mvunja sheria mkubwa na mdharau mahakama ngoja uchaguzi uishe aje ajibu kesi zake za JinaiNilidhani unajibu hoja za kisheria za Lissu juu ya mgombea wenu kumbe tunasumbuliwa na supu ya utumbo baada ya kupokea buku saba Lumumba
Mimi nikajua wagombea wote ni wa tume,kumbe kuna wa tume na wasio wa tumeNawashauri Tume ya Uchaguzi wazungumze na Lissu na wahusiane naye kwa heshima, wakitaka kuendesha Uchaguzi kama Ndugai alivoendesha Bunge ama kama Magufuli anavoendesha Serikali bila kuzingatia Sheria za nchi watapata tabu sana..
Itafika siku ya Uchaguzi Tume wako hoi kwa sababu wataelezewa kuwa hawana Uadilifu wa kutosha kusimamia Uchaguzi, na Mgombea wa Tume pia ataelezewa kuwa Hana Uhalali wa Kisheria kushiriki Uchaguzi...
Yan kwenye Uchaguzi huu Mgombea wa Tume atakuwa kama Mwanafunzi anayehudhuria Lectures Chuo lakini Hana admission, au Basi ana admission lkn hajakamilisha Usajili...so anapoteza muda tu.
Hata akishinda Ushindi wake utapingwa mahakamani kuwa Hakuwa na Uhalali Kisheria kushiriki Uchaguzi, So ni Mgombea Fake.
Kufika Tarehe ya Uchaguzi Tume will be battered na Mgombea wa Tume atakuwa Rais dhaifu mno kiuhalali wa Mamlaka ya cheo chake Ikitokea akatangazwa kwa Lazima kuwa kashinda Urais, atakuwa kama Dr.Shwein katika Awamu yake ya 2.
mtaropoka kila neno safari hii kudadeki !
Sasa kinachokuliza nini ?Lissu ana hoja gani kwa mfano?? Lissu anayejiita Wakili msomi ambae inatakiwa awe mfano kwa kuheshimu mahakama sehemu ambayo ni kama ofisi yake sehemu ambayo sheria zinapata tafsiri yeye ndo amekuwa mvunja sheria mkubwa na mdharau mahakama ngoja uchaguzi uishe aje ajibu kesi zake za Jinai
Hahahahahaha Chadema tawi la mtandaoni ndo kutwa mnalia na bahati nzuri toka mmeanza matusi yenu hakuna anayewajibu mnaonekana vichaaa tuSasa kinachokuliza nini ?
Kwani Magufuli, Lipumba na Lissu walirudisha fomu siku tofauti? mbona sisi sote tuliuatilia na tunajua kwamba fomu za wagombea wote zilirudishwa siku moja? au siku hizi tumejitoa akili tunamsubiri Lissu aseme ndo tudandie?Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo.
Kwa mujibu wa Lissu, Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria, na mgombea uraisi Magufuli, akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu yeye alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari)...
Sijui kwa sababu hakuna ushahidi wa kuwa kuna wagombea wa CCM wamepita bila kupingwa. Jana tume ya uchaguzi ilitahadharisha kuwa hakuna mgombea yeyote aliyekwisha pita bila kupingwa. Hata hivyo ikionekana wana CHADEMA wamazikosea sheria na kanuni hizo, basi sheria itachukua mkondo wake...
Amsterdam akija Kwanza karantini siku 14, zikiisha yuko positiveHivi nikuulize tu kifupi rafiki
Akijaza fomu zingine usiku huu akaweka na kila kitu zikagongwa mihuri yote ya mahakama na tume kwa tarehe za nyuma na kwenda kubandika kwenye notisi bodi. Yeye Lisu akabaki na picha ya zamani ataitumia kama ushahidi?
Na unadhani itamsaidia?
Aanze kampeni aache kupoteza muda kwenda kwenye kesi la sivyo atanaswa mtegoni kupitia mbinu zake. Mwisho ziwe kesi za kimahakama halafu anze kupangwa kila baada ya siku mbili inasikilizwa au atawaleta Robert & Amstredam nao wanawekewa zengwe pia
Nimekuelewa ila naomba tusijaribu kufikirishwa na hawa wana siasa bali tuwe tuna fikiri wenyewe kulingana na facts zilizopo'Msikilize vizuri Lisu alisema JPM hakurudisha form Kama sheria za uchaguzi zinavyosema unaweza ukamwona mtu ndani ya dakika 30 Kama ulivyosema ila hakukidhi vigezo vilivyotakiwa kwa maana hiyo hajarudisha form.
Kwa hiyo siyo picha zake kabisaa? Hazimtambulishi si ndiyo?Zero kabisa wewe!Picha aliyoweka haikuwa sahihi na ni zile picha zilizoko kwenye mabango yake humu mitaani.
...
Sitaki kuamini CCM ni borq zaidi au hatuwezi kusonga zaidi bila wao kua madarakani HAPANA mabadiliko ni lazima yawepo lkn hao wanaotaka hayo mabadiliko wanatuaminishaje kwamba na wao Upinzani ni watu sahihi?????????!!!!!!!!! Hayo ni mawazo yangu binafsi nami naishi hapa hapa Tanzania na kila siku naona na kusikia kinachiendelea hapa kwetu JMT.
Hauko sawa kichwaniKwahiyo oktoba atajitangaza?
Lisu bado mtoto mdogo sana yule.
Anafikiri anabishana na kina fatuma karume
Hawa ng'ombe wanaboa sn....... Shame on themKatumia Sheria yao wenyewe waliyoitunga kuwakomoa wapinzani lakini cha ajabu wamechachawa
Clouds imefungiwa kwa kusema uwongo huo wa kupita bila kupingwa kabla tume haijafanya uamuzi wake. Ni watu kama wewe ndio mnaoeneza hayo ya wabunge wa CCM kupita bila kupingwa kabla facts hazijatokaNarudia tena, huu mchezo wa wagombea wa ccm kupita bila kupingwa ni tabia binafsi ya Magufuli toka akiwa mbunge. Toka ameingia madarakani ndio imekuwa mbinu kuu ya ccm kutangazwa washindi bila kushindana. Kama kweli lengo ni mgombea kupita kwa ridhaa ya wananchi, iweje uchaguzi wa SM 70%+ ya wagombea wa ccm walitangazwa washindi kwa kuwaengua wapinzani kwa sababu ndogondogo hivyo? Hao tume wametangaza kuwa hakuna mtu amepita bila kupingwa, maana wameona wanaccm pia wamewekwa mapingamizi yanayofanana na sababu zilizowatoa wapinzani.
Clouds imefungiwa kwa kusema uwongo huo wa kupita bila kupingwa kabla tume haija fanay uamauzi wake. Ni watu kama wewe ndio mnaoeneza hayo ya wabunge wa CCM kupita bila kupingwa kabla facts hazitjatoka