Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya "Kipindi cha Uchaguzi" acheni kutusumbua na "SMS" za kila siku, ushahidi umejaa tele huko mitandaoni

Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya "Kipindi cha Uchaguzi" acheni kutusumbua na "SMS" za kila siku, ushahidi umejaa tele huko mitandaoni

The Magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
431
Reaction score
1,594
Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena?

Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi!

Acheni kutujazia simu buree!
Screenshot_20260107_091706_Messages.png
 
Ni namna ya kula pesa za walipa kodi.Wakimaliza hiyo drama lazima kila mmoja aidha ajengewe bungalow na kumiminiwa mahela mengi au kutunukiwa vyeo vinene zaidi.
 
Yaani mpaka leo bado wanachunguza tu.

Nishapiga block texts kama hizo
 
Back
Top Bottom