Uchaguzi 2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa


Tungependa kujua ni barua ya nini?maana inaonekana ni "msajili" ni barua ya nini na ni msajili wa nini?vyama au?
 
Aliyepeleka barua na pikipiki ni Msajili msaidizi wa vyama vya siasa.
Tume na msajili wanahusiana nini?
 
Atatumiaje akili wakati hizo akili hana
 
Nimeona video katika mtandao wa twitter, video inayodaiwa ni ya Msajili Msaidizi akiwa kwenye bodaboda karibu kabisa na ofisi za Makao Makuu ya chama kinachotajwa kupelekewa barua hiyo.

Kilichonishangaza ni mtu huyo anaedaiwa kuwa msajili msaidizi(sura inaonekana kwenye video akiongea na wakazi wa eneo hilo na wanaomtambua watamfahamu wakiona video hiyo) akihojiwa na mtu pembeni mwa barabara opposite na ofisi za chama husika akikiri kufika katika ofisi hiyo kwa bodaboda(utadhani ni comedy fulani ukiona hiyo video).

Kilichonishangaza ni mtu huyo anaedaiwa kuwa ni Msajili Msaidizi anapeleka barua katika ofisi za chama tajwa na kisha anahojiwa na raia mtaani na kukiri kufanya hivyo na kisha anaondoka na bodaboda.Hii ni sawa kwa ofisi kubwa kama hiyo kufanya mambo kama haya?

Hakika inashangaza sana!
 
Muhimu ni barua imepokelewa!
 

Magari ya tume yambadilishwa namba na yanatumika kwenye kampeni za ccm. Jamaa kaona alinde mkate wake kwa kujiongeza. Ikabidi atumie Bodaboda
 
Jamaa alijua akiwa anajitapa kuwa ndani ya miaka minne kafanya makubwa kuliko waliotangulia, Mara watangulizi hawakufanya lolote, kwa akili yake fupi alijua tutampenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…