Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Ole wake kesho asiende tume ya maadiriMlisema hatarudi, karudi
Mlisema atakamatiwa airport hapo kapita.
Sasa adhabu kali.
MGUSENI ANUKE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ole wake kesho asiende tume ya maadiriMlisema hatarudi, karudi
Mlisema atakamatiwa airport hapo kapita.
Sasa adhabu kali.
MGUSENI ANUKE
Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lisu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo.
Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na Kama wanaelewa nafasi ya tume katika mchakato wa uchaguzi.
Pikipiki aka bodaboda?
Siyo kudharau tu na kupata vijisababu vya kutuwekea vikwazo vya ajabu ajabu.Viongozi aina ya magu ndo wanasababisha Wazungu waendelea kutudharau waafrica
Ilikufanya nini mkuuChadema mi siipendi kabisa
Kabisaa, tena hawana hata uhuru wa kukohoa mkuu akitoa tamkoNadhani hawa watu wako under Pressure kubwa sana.
Huenda hata Familia zao ziko hatarini wasipotekeleza Amri za Wakubwa...
Aliyepeleka barua na pikipiki ni Msajili msaidizi wa vyama vya siasa.Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lisu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo.
Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na Kama wanaelewa nafasi ya tume katika mchakato wa uchaguzi.
Pikipiki aka bodaboda?
Adhabu sio azabuLissu apewe azabu kali iwe fundisho
Atatumiaje akili wakati hizo akili hanaKama kiongozi mkubwa Kama huyu anashindwa kutumia akili ndogo tu yakujilinda kwa uhai wake analazimishwa kufanya Mambo yakitoto hivi tunategemea Taifa litaendelea?
Mnamwogopa binadamu ambaye siku zake zakuishi hapa Duniani hazijui Kama Mimi na wewe tusivyozijua?
Mimi ningekuwa nimesoma nisingefanya huu ujinga wakudhalilisha familia yangu kwa kiwango hiki. Bora niishi kwa mihogo nikiwa huru kuliko huu utumwa.
It's sad hasa pale unapogundua huyu mwanaume ana mke kamwacha nyumbani, ana watoto kawaacha nyumbani.
Tunasoma kwa ajili ya nini Kama wasomi wenyewe ndo Hawa?
Tunaidhalilisha nchi kwa kweli
Muhimu ni barua imepokelewa!Nimeona video katika mtandao wa twitter,video inayodaiwa ni ya Msajili Msaidizi akiwa kwenye bodaboda karibu kabisa na ofis za Makao Makuu ya chama kinachotajwa kupelekewa barua hiyo.
Kilichonishangaza ni mtu huyo anaedaiwa kuwa Msajili Msaidizi(sura inaonekana kwenye video akiongea na wakazi wa eneo hilo na wanaomtambua watamfahamu wakiona video hiyo) akihojiwa na mtu pembeni mwa barabara opposite na ofisi za chama husika akikiri kufika katika ofisi hiyo kwa bodaboda(utadhani ni comedy fulani ukiona hiyo video).
Kilichinishangaza ni mtu huyo anaedaiwa kuwa ni Msajili Msaidizi anapeleka barua katika ofisi za chama tajwa na kisha anahojiwa na raia mtaani na kukiri kufanya hivyo na kisha anaondoka na bodaboda.Hii ni sawa kwa ofisi kubwa kama hiyo kufanya mambo kama haya?
Hakika inashangaza sana!!
Ndio maana yake!Msajili msaidizi anatuhabarisha kwamba na wao wanaburuzwa.
Wanajitoa lawama na kuonyesha kuwa hata wao wanafanya wanayoyafanya kwasababu inabidi.Muhimu ni barua imepokelewa!
Nimeona video katika mtandao wa twitter,video inayodaiwa ni ya Msajili Msaidizi akiwa kwenye bodaboda karibu kabisa na ofis za Makao Makuu ya chama kinachotajwa kupelekewa barua hiyo.
Kilichonishangaza ni mtu huyo anaedaiwa kuwa Msajili Msaidizi(sura inaonekana kwenye video akiongea na wakazi wa eneo hilo na wanaomtambua watamfahamu wakiona video hiyo) akihojiwa na mtu pembeni mwa barabara opposite na ofisi za chama husika akikiri kufika katika ofisi hiyo kwa bodaboda(utadhani ni comedy fulani ukiona hiyo video).
Kilichinishangaza ni mtu huyo anaedaiwa kuwa ni Msajili Msaidizi anapeleka barua katika ofisi za chama tajwa na kisha anahojiwa na raia mtaani na kukiri kufanya hivyo na kisha anaondoka na bodaboda.Hii ni sawa kwa ofisi kubwa kama hiyo kufanya mambo kama haya?
Hakika inashangaza sana!!
Mods msifute huu uzi watu wajue kinachoendelea vinginevyo wahusika wakanushe ingawa teyari sura ya muhusika iko wazi akiwa na tai yake.