Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Dogo akikua na kupata mafanikio ndo baba anajitokeza, chalii hawezi kuelewa kabisa.Hakika kaka hakuna kukata tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo akikua na kupata mafanikio ndo baba anajitokeza, chalii hawezi kuelewa kabisa.Hakika kaka hakuna kukata tamaa
Wapare ni Wabishi dunia nzima watata balaa ila udhaifu wao wanamuheshimu mjomba zaidi kuliko unavyojua, sasa wewe cha kufanya mtafute mjomba wake ongea nae sio mama yake, kwa wapare mjomba ni zaidi ya mamakabila lake ni Mpare
Pole kwa changamoto.Anataka amlee mwenyew ili badae aje aseme ametelekezewa mtoto na mtoto wang nimehangaika nae kuanzia ana mwezi mmoja tumbon mpk kafikisha miaka miwili na nusu leo mama ake hataki nimlee mtoto wang naombeni ushauri wenu.
Punguza chuki za kikabila, mpare ndugu yake mmakonde j😂kesMimi kila wakati nawaambiaga, wapare ni kabila la ovyo duniani, siyo wanawake siyo wanaume, hawafai hata kidogo.
Mwache tu amlee, maana hata ukihusika kwenye malezi yake kwa 100% bado tu atakuja kuimba nani kama mama na utatelekezwa uzeeni vile vile.Anataka amlee mwenyew ili badae aje aseme ametelekezewa mtoto na mtoto wang nimehangaika nae kuanzia ana mwezi mmoja tumbon mpk kafikisha miaka miwili na nusu leo mama ake hataki nimlee mtoto wang naombeni ushauri wenu.
Sio kweli... Hata yeye huyo baba pia ni mtoto wake na kiislamu ni mtoto wake kabisa ikiwa kama kamkubali.Kiislam huyo ni mtoto wa mama.
Sijuwi imani yenu.
Kiislam huyo ni mtoto wa mama.
Sijuwi imani yenu.
Bahati mbaya sijui kwanini audio hazitokei hapa jamii forum. Najaribu kuzi upload ila hazi displaySio kweli... Hata yeye huyo baba pia ni mtoto wake na kiislamu ni mtoto wake kabisa ikiwa kama kamkubali.
Nafahamu kuwa kuna khilaf baina ya wanazuoni wa kiislamu kuhusiana na mtoto wa nje ya ndoa. Ila kushika kauli moja sio sawa, kiasi ya kwamba kumuachia malezi peke yake mama ya kulea mtoto na kumkuza , na ukiingalia kiundani dini ya uislamu ni dini yenye kuchunga maslahi kwa umma na jamii kiujumla.
Wacha nisiliongelee swala hili pasina kuegemea kauli za wanazuoni lukuki wa kiislamu wa umma huu kwa wakati wa zamani na wa sasa, kuhusiana na kauli ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Mas'ala haya yapo hivi.. Pale mtume s.a.w aliposema:
Tarjama ya hadithi ipo hivi...
'' Mtoto ni wa kitanda na mzinifu kwake jiwe''
Kwa maneno mengine: Mtoto ni wa kitanda(mwenye mke )na mzinifu hapati kitu.
Sababu ya maneno haya ya mtume ni hivi:-
Kulikuwa kuna mvutano baina ya waaume wawili kuhusiana na mtoto,
Mmoja ni mwenye mke na mwengine mzinifu.
Mtume s.a.w ndio akahukumu hvyo mtoto ni wa kitanda na mzinifu atapata jiwe (hapati kitu), hana haki na mtoto huyo.
Swali sasa linakuja je ikiwa mwanamke aliyeziniwa hana mume, kwa maana hana ''firaash'' je mtoto aliyezalikana atakuwa ni wa nani?
Hapa ndio kuna khilaf baina ya wanazuoni.
Kuna Kauli mbili kundi kubwa la wanazuoni( Qauli ya jumhuur) limeelekea katika msimamo wa kuwa mtoto hatonasibishwa na yule mzinifu(biological father) na wala hatomrithi.
Na kundi la pili la wanazuoni limekinzana na Qauli ya jumhuur, wao wanasema kuwa mtoto atanasibishwa na yule mzinifu ( biological father) ikiwa kama atamkubali yule mtoto.
Wanazuoni wa kiislam waliogemea kwenye hii Qauli ya pili ni sheikhul Islaam ibn Taymiyyah, ibn Qayyim na wengineo na katika wakati huu ni sheikh ibn Uthaymeen na wengineo na hata kauli za Assalaf
Ibn Uthaymeen anasema hivi rejea katika sherk muntih juzi 6 ukurasa wa 127.
Juu ya ile Kauli ya mtume'' mtoto ni wa kitanda na mzinifu atapata jiwe''
Je? kauli kauli hii ni yenye kuenea au iko maalumu (khasa).
Ikiwa mwanamke yule hana mume( firash) basi yule mtoto atanasibishwa na na yule mzinifu ikiwa atamkubali na wala hatoingia katika hukumu ya hadithi hiyo, maana sababu ya hadithi kulikuwa kuna malumbano baina ya mwenye mke ana asie na mke.
Yule mtoto atanasibishwa na huyu baba na atamrithi.
Pia rejea kisa cha jureid na yule mchunga mbuzi (mzinifu)
Mbona mtoto alipoongea katika utoto kwa uweza wa Mungu mbona alijinisabisha na yule mchunga mbuzi( mzinifu) na kisa hichi wamekitaja wanazuoni kama ushahidi.
Na ile kauli ya Allah katika Qur'an.
"Waiteni watoto wenu kwa majina ya baba zao huo ndio uadilifu mbele ya Allah, na ikiwa hamtowajua baba zao basi ni ndugu zenu kwenye dini'' ~~Qur'an.
Tazama tafsiri ya aya hiyo.
Audio hizi hapa chini zimefafanunua kwa undani zaidi, mie sikuweza kuziwasilisha vyema kama katika hizi audio👇.... Wabillahi Tawfiq
Kuna uwezekano mkubwa huyo mtoto si wako na anakataa wewe kutoa hela ya matunzo kwa sababu mwenye mtoto wake anatoa matunzo. Achana naye msahau kabisa oa mwanamke mwingine.Habari zenu wakuu,
Kuna jambo moja nataka kushare na nyie, nilikuwa katika mahusiano na mwanamke mmoja tukafanikiwa kupata mtoto mmoja tuishi pamoja toka 2021 tumekuja kutengana mwezi wa sita mwaka huu na sababu iliyofanya kutengana ni mke wangu kuanza kubadilika, ana kiburi kupita kiasi, ameanza dharau sana ana jambo anavyoamua yeye in short kama vile anataka kunicontrol tukiwaita wazazi.
Tuongelee wazazi wake kama vile wako upande wake, wanahisi mtoto wao anaonewa nikaona isiwe kesi tukaamua kila afate maisha yake, baada ya muda ya kama mwezi mmoja hivi nikawa najaribu kuwasilian naye ili me niwe naendelea kumlea mtoto wangu kama vile mahitaji ya mtoto. Lakin cha ajabu akawa hatk kupokea simu zangu kaniblock kila mahali nikasema frsh.
Baad ya yeye kukaa kimya kwa muda kuna siku akanitafuta turudishe mahusiano lakini me nikamwambia tulishatengan sabab niliona hajabalika chochot tabia ni zile zile.
Point yangu ni nn hapa, kila mimi nikimwambia tuweke utaratibu mzur wa kumlea huyo mtoto yye hatak kabisa, kabila lake ni Mpare me nataka niwe naendelea kumtunza mtoto wangu lakini mama yake hataki?
Anataka amlee mwenyew ili badae aje aseme ametelekezewa mtoto na mtoto wang nimehangaika nae kuanzia ana mwezi mmoja tumbon mpk kafikisha miaka miwili na nusu leo mama ake hataki nimlee mtoto wang naombeni ushauri wenu.
Haahaaa ushakutana na mshangazi mura aliyejipata? Huna rangi utaacha kuuona🤣Mimi kila wakati nawaambiaga, wapare ni kabila la ovyo duniani, siyo wanawake siyo wanaume, hawafai hata kidogo.