Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

bongo bila unafiki mambo hayaendi
Yan Mkuu acha tu. Unajua mtu atakutendea unafiki kwa kuwa amekusoma kuwa unatakiwa kunafikiwa.
Nina amini ukimtendea mtu kitu kizuri basi naye atakulipa mazuri ila sio kwa marafiki wabinafsi wenye tamaa. Ukiwa mzuri anatumia ule uzuri wako kujinufaisha maslahi yake. Jambo ambalo halipendezi.
 
Kwahyo bila kutukana huoni Raha humu
 
Wapalestina ni hawafai hata kulumangia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema kitu nimegundua una roho nzuri sana kama mimi tu. Hizi roho nzuri zetu sikuhizi watu wanazitumia kama madaraja ya kusogea mbele huku wakituachia maumivu makali.

So we really need to act cold to some people ili tu kuwekeana mipaka mapema. Usitoe kama huna na hata ukiwa nacho sio kila mtu wa kumpa tu. Jifunze ku filter watu katika circle yako. Utaweza kuona ni kiasi gani umezungukwa na mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo 😂😂😂
 
Hey, kule mmesababisha mpaka uzi umezibwa comment na Mods [emoji23][emoji23][emoji23] hebu tongozaneni yaishe basi. Hii michezo niliifanya form 2!
Hahaaa mkuu Mimi na shida na mtu you know me well mbishi sasa ka mtu ananiandama nifanyeje kwa chuki zake[emoji23][emoji23]
 
.
 
Pole sana mdogo wangu
Huyo jamaa yako ni wakupiga chini kwa kuwa hana msimamo. Mimi nafahamu wachaga kibao wameoleana na watu wasio kuwa wachaga. Suala la mtazamo wa wazazi hauwezi kumnyima mtu kuoa mtu ampendaye. By the way, wazazi wengi wa kilimanjaro ni waelewa sana hawalazimishi mtu kuoa mtu wa kabila flani ILA wanaweza kumpa kijana mtazamo wao ambao sio lazima kuufuata.

Nimeona tatizo la kukaa kwenye mahusiano kwa mudfa mrefu ( mika 5?) linaweza kuwa limeleta changamoto pia
Binafsi naona muda mrefu zaidi wa kukaa kwenye mahusiano yanayolenga kuoana yasizidi miaka 3; zaidi ya hapo ujue hakuna ndoa (kuna mmoja atakuwa akishop around kama itatoikea fursa bora zaidi)
Amini tu Mungu anampango mzuri kwako ndio sababu amekuonesha kuwa huyo sio mume wako
Usichukue hasira kumpata mpenzi mpya; tuliza akili, tafuta mtu aliyekuzidi umri walau 3 to 8yrs hivi
 
Wachaga...wanafundishwa kuiba tangu TU anazaliwa... Wenyewe kupata pesa ndo kipaumbele haijalishi hiyo pesa umeipataje... Ni wezi Sana wadhulimati... Na pia Ni walevi kupindukia...

Kuibia Watu kwao Ni sifa ujanja na ushujuaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…